JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Najua mmenimiss kiasi kwa kuwa sijapost sana hasa hasa miezi ya mwisho wa mwaka 2019. Napenda kuwaambia nawapenda sana wanajukwaa wenzangu. Bado nipo Gado sana representing Team Magufuli...
1 Reactions
7 Replies
791 Views
kwanini jamaa wakabila hili wanachukuliwa kama washamba sana......aidha niliwah zungumza nao baadhi wakakir kweli kabila lao ni washamba ila sio kama wajita
2 Reactions
14 Replies
7K Views
Kwa ukavu wa 2019 nadhani tuko wengi,nanini kajitoa fahamu eti 6.1.2020 mbali! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
660 Views
Wakuu. Heri ya mwaka mpya 2020. Pamoja na kwamba bado dakika chache tuingie mwaka mpya 2020 nimeona sisi Kama binadamu wenye mapungufu tufahamishane/tukumbushane tabia ambazo mtu hutakiwi kuvuka...
1 Reactions
19 Replies
924 Views
Aman iwe nanyi wakuu Leo jaman niko mbele yenu wana jf wenzagu nikiwa na furaha sana kwa kuumaliza mwaka ambao nauita ulikuwa mwaka wa shetan, mwaka wa 2019 ulikuwa katili sana juu yangu Hivyo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Una nunua bidhaa kutokana na matumizi yake. Kuna Ali yenunua fridge ya chooni kwakua alipenda kunawa kwa kutumia maji ya baridi.
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari tulizozipokea sasa hivi ni kuwa, wakina Mama hawa wawili wameondoka duniani kwa uchungu mkubwa kutokana na hujuma walizofanyiwa vijana wao. Vijana wao wote wawili waliwekwa gerezani mmoja...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu ikiwa leo ni tarehe 31 mwezi wa 12, muda mfupi kabla ya mwaka mpya kuna kuku wa jirani, tena kuku kweli kweli ameingia jikoni kwangu na mlango umejifunga akiwa ndani, hapo nifanye nini...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mi nakumbuka shuleni kwetu kubeba jembe, kotama, mbolea, maua, chupa, mayai, mifagio, fito, mifutio, maji ilikuwa kawaida. Kupewa adhabu za kung'oa visiki ilikuwa kawaida au kushinda umeshika...
2 Reactions
69 Replies
3K Views
Nawatakia mwaka wa kheri,Baraka, Maisha marefu na mazuri ndugu wana JF wote. Here’s a warm thought for the much awaited 2020.... *The Fable of the Porcupine.* It was the coldest winter...
2 Reactions
4 Replies
437 Views
eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????!
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tumebakiza masaa 2 tuweze kumuaga rafiki yetu huyu tuliekaa nae siku 365 na hatutamuona tena[emoji27] itabaki historia kua tuliwahi kuwa nae.. Siku ya leo huu wimbo ndio umenifungia mwaka 2018 na...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Nauliza jamani kwa wanaomfahamu vizuri,hivi bosi huwa anakunywa? kama anakunywa anatumia kinywaji gani? maana JK alikuwa anatumia Juisi, Kambarage alikuwa anapiga bia aina ya plisner,soda ya fanta...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habarini JF members, Maisha ya mwanadamu yana vipindi vya furaha na huzuni, chochote kati ya hivyo viwili kinaweza kubaki katika kumbukumbu ya maisha kutokana na kilivyomuumiza/kumfurahisha. Huu...
1 Reactions
206 Replies
9K Views
Merry Christmas and Happy New Year! Twende sawa kwa huyu kinyozi ambae hajui huwa natumia gharama kiasi gani kuhakikisha nywele zinakuwa kwenye ubora wakati wote. Sasa juzi kwenye pita pita za...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mbona pombe ni bei nafuu sana? Mnaosema inamaliza hela, huwa inamalizaje?
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikiwa primary darasa la nne moja ya somo nililokuwa naangukia pua ni hesabu na hapo ndipo nilipotolewa kwenye tatu bora niliyokuwa naishika la kwanza, la pili na la tatu. Nikawa mpiga chabo...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Hata sasa ni MUNGU amefanya. Ni kwa Neema na Rehema kufika leo. Pia nikushukuru wewe kwa kuwa sehemu ya safari ya 2019. Umekuwa pamoja nami katika vipindi vyote. 2019 Umekuwa ni mwaka wa kicheko...
2 Reactions
1 Replies
536 Views
Kuna group letu mabaharia tukutane kujadili bei za bidhaa yetu
4 Reactions
101 Replies
17K Views
Back
Top Bottom