JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Mpemba akiwa anafanya mapenzi utackia* *Mama zakia mie ndio namwaga ivo nikusubiri au ntangulie mana laja kwa pupa[emoji3][emoji3][emoji3]* Sent using Jamii Forums mobile app
13 Reactions
21 Replies
6K Views
Huwa nakutana na maneno haya hasa kwa vijana wa bavicha wakiwajibu jamaa wanao tetea CCM au UVCCM. Utasikia " aya kapokee bukusaba zako kwa Nape" "Wewe Lumumba bukusaba tuondolee upuuzi wako"...
0 Reactions
5 Replies
827 Views
Google umenisaidia sana kunipatia elimu juu ya mambo mengi, ila kwa leo sina budi kukushusha vyeo. Leo nilitaka kuanzisha ugomvi, In fact kuna mtu amenizingua kwa muda mrefu. Hivyo nilikuwa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
1.wanaopata first class chuo kikuu 2.wanaopewa bia za ofaa 3.wanakula chips mayai na mishikaki na soda 4.wanaokula kiti moto Haya endeleeni Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Wasalaam! Wakati mwingine wanaume hamjui mnachotaka au mnakuwa mnawaza nini! Unakutana na mdada anakueleza tu ukweli kwamba kazi yake ni kuuza mkaa, au mama ntilie, au mfagiaji wa maofisini au...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
ishawahi kukutokea kukosa usingiz Kabisa na je Huwa unafanya Nini Mpaka unalala.? mimi hupata shots glass of wine Angalau Napata kulala vipi wewe Mdau hufanya kitu gani ? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
84 Replies
6K Views
Kumbe Kenya wametuacha mbali sana.hiyo ndo list; 1: Sweden 2:Brazil 3: USA 4:Japan 5: Russia 6:Italy 7: Poland 8: Philippines 9: England 10: Australia 11: India 12: Germany 13: Colombia 14...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mambo yasiwe mengi, jana mida ya jioni nilisababisha ajali kwenye taa nyekundu hapa Minneapolis City in Minnesota. Cha kushangaza zilikuja ambulance muda ule ule hata sekunde moja haijaisha...
13 Reactions
92 Replies
6K Views
Mwenye saloon ya kusukia nywele anakodisha chumba. Ndani anaweka Drayer 2, vioo, microwave viti, kabati la display. Chini kuna carpet la blastic. Sijakosea saloon kuna microwave, msusi anakuwa...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa miaka yote nilikuwa najua Hawa jamaa wanaishi Dar kwakuwa gazeti lililokuwa linawachora lilikuwa ni la Dar es Salaama Kumbe aliyekuwa anawachora ndiyo alikuwa anaishi Dar Sent using Jamii...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Wasalaam! Wakati mwingine wanaume hamjui mnachotaka au mnakuwa mnawaza nini! Unakutana na mdada anakueleza tu ukweli kwamba kazi yake ni kuuza mkaa, au mama ntilie, au mfagiaji wa maofisini au...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Hii staili hapana kabisa,weka mbali na watoto...imemchanganya chura matata mpaka ananena kwa lugha! Na hii inawafaa wale wenye mizigo ya kushawishi au walionona....ngoja nikiikumbuka nitawaletea jina.
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Kuna kula na kulala, Kuna tanga na tangawizi, Kuna lima na limao, Kuna uji na ujinga, Kuna pumba na pumbazo, Kuna mate na matembele, Kuna kiu na kiulizo, Kuna jamba na jambazi HAYA ONGEZA NA...
2 Reactions
2 Replies
447 Views
Kwa ambao hawajapitia kipindi hiki hongereni kwa waliopitia wanajua, ambao ndo wanapitia msikate tamaa. Ni kujitahidi usikose vyote, ukipata hela utapata mapenzi ukikosa hela tafuta mapenzi...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Salon ya kike,, Hapa kuna Wateja ambao ni Mashuga mamy,Wakujiuza,Waloshindikana,,, Watamjaza ujinga Mkeo hadi afanane nao, watampa mbinu zote ambazo hazijui,, Ipo siku braza utarusha ngumi...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Tanzania inatarajia kupokea watalii zaidi ya 600 kutoka nchini China wiki ijayo. Hayo yalithibitishwa na balozi wa China nchini Tanzania Bibi Wang ke wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Kuna nguvu gani inayosababisha abiria wa jinsia tofauti,Rika zinazo landana,wanapokuwa ktk safari(Seat za pamoja),safari ndefu(mkoa mpaka mkoa).Mwisho wake huishia Hotel au Guest house? Nimeuliza...
12 Reactions
88 Replies
21K Views
Huu ni uzi wenu mtiririke na kuserereka. Mtaje top ten zenu kama sio five ya I'd za wanaume zenye majina matamu kwenu na yanayowavutia... For sure.. Nb nna imani ntakuwa wa kwanza.. 😎😎😎
7 Reactions
252 Replies
16K Views
Kuna majibu ukipewa baada ya Kuuliza maswali flani unaweza ukahisi aliekujibu ana Utindio wa ubongo au kakuona wewe fala sanaa... Jana nilitaka Kulipa lifurushi cha startimes sasa nikawapigia...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
Ni siku njema kwa Jf wote, Mungu ni mwema na anatupenda. Najua wengi wetu tuna mshukuru Mungu asubuh tunapo amka na kabla ya kwenda kazini tunajikabidhi mikononi mwake, hii ni kwa madhehebu yote...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Back
Top Bottom