JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ninaomba msaada katika hili
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Hello wakuu, hope mko poa. Je kuna member yoyote wa JF ungependa kukutana naye. Kama ndio, Je! ni kwasababu gani? List yangu + sababu zangu ni hizi hapa; 1/ Kiduku Lilo huyu bepari natamani...
6 Reactions
463 Replies
24K Views
Mimi binafsi nachoweza kukusaidia ni kumpatia ujauzito huyo mpenzi wako..basi! Napatikana Pataya Gest House Ubungo River Side!
2 Reactions
35 Replies
3K Views
TABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA: 1,Anapenda wanawake vibonge(zawadi ya kudumu) 2,Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi 3,Ana nguvu kubwa...
1 Reactions
5 Replies
648 Views
Ndiyo hivyo yaani. I wish I were a teacher. Si mnaona sasa hii kitonga ya siku thelathini inavyonipita kifala tu yaani. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
785 Views
As stipulated by Mchepuko et al., (2019) ""Mapenzi ya siku hizi yapo kama king'amuzi. Usipokilipia uoni kitu. Lakini ukikilipia tu, utapewa Channel mpaka unachanganyikiwa"" Tafuta HELA kwa BIDII...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Huu sasa ndio wakati wa kuoa na kuolewa. Acheni kusubiria Corona iishe afu mchangishe watu! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Habarini wana jF Huenda hii ika sound crazy kwa baadhi ya watu ila lengo haswa ni kujua je utapenda ufe kifo cha aina gani (sijamaanisha cha mende). Kwa mfano Wapo ambao watapenda wafe wakiwa...
0 Reactions
80 Replies
3K Views
Janani hebu tuwasaidie hawa wenzetu Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hawa watu wafuatao ni wavaa suruali waliobobea kunako fani hii.. Ni zile suruali zao zinazong'aa kama bati (satini) Pia huwa wanavalia suruali tumboni... Lucas Mobutu CONTROLA Nyaru-sare...
7 Reactions
144 Replies
15K Views
MENDE: "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? " PANYA: "nimekula nguo lenye pafyumu, nasikiaje kiu. uwiiiii" NGURUWE: Binadamu wabaya jamani...
32 Reactions
84 Replies
15K Views
Hawa magereza, wamejipangaje? Maana pale tuna askari wetu waliobobea kuvunja mikono ya dada zetu na mama zetu, tusije wapoteza. Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimekumbuka mbali sana. 1. Niliwahi kupigwa na mbabe mmoja huko kijijni kwetu tukichunga mbuzi. Yeye kazi yake ilikuwa kutuma wenzake tu hadi anaboa. Beberu wake akipigwa na wako naye anakupiga...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wewe uliyepaka pilipili[emoji276] kwenye toilet paper za vyoo vya hapa stendi kuu ya mabasi Ubungo[emoji590].. nakuambia hivi pepo utaisikia kwa wenzako tu malipo hapahapa duniani[emoji52] Yaani...
13 Reactions
76 Replies
5K Views
Happy birthday to my handsome, tall, good looking, kissable, faultless, cheerful, romantic, and amazing future Husband Cc Melvin 16 Sent using Jamii Forums mobile app
8 Reactions
74 Replies
3K Views
Hivi na wewe ni Muoga wa shindano Haya Tizama Kilicho mkuta mwenzio [emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
600 Views
NIMEJIKUTA NAWAZA
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Niliwahi nunua “perfume” fulani hivi JD pharmacy pale JMo aseee laki na sitini kipindi hicho, kwa pale nilipenda harufu yake ila nilipofika home ikawa mbaya sana kwangu hata wife hakuipenda na...
10 Reactions
165 Replies
12K Views
Haya bhana Yote kwa yote matukio yako ni ya kawaida sana kwa sbabu ujinga niliowahi kufanya “kuvunja redio nikitaka kusalimiana na watangazaji” Kingine: Kuchoma nyumba kwa sababu ya kumchoma...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Covid-19. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom