Yaani hata wanaojifanyaga sio watumbukiaji wa kwenye mashimo sabuni hii itatoa ushahidi.....na ndipo Bwana atasema ondoka kwangu sikujui mimi wewe mnafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka oneday pande za temeke maduka mawili kunasiku nilienda pale liquid bar, wana barmaid wao pale wanavaa nguo za draft nyekundu wako bomba balaaa.
Nikazimika na mmoja tukaweka miadi kua...
Wakuu maisha ni magumu sana kwakweli lakini hamna namna inabidi twende nayo hivyohivyo mpaka hapo tutakapoishia.
Sasa nimejichanga ni kapata ka TV kwangu nchi 32 kampuni zetu hizi za STAR X, sasa...
Walevi ni watu pekee wanaofikiri kwa namna ya ajabu...utakuta mtu kalewa chakari lakini atakwambia jajalewa
Ukimpa hasara za kiuchumi,kijamii na kiafya za pombe,atakupa faida za kutosha za pombe...
Aisee!
Kama kunawa nimenawa leo aisee;
Kila ofisi kunawa! Kila chochoro ukipita kuna ndoo na sabuni!
Kibaya zaidi baadhi ya Sanitizer zina harufu kali sana kiasi cha kuleta allergy...
Sikutegemea kama warning letter ingeweza kumchanganya kiasi hiki mwanasiasa mpendwa eng Haizai Kamwelwe..
Haya mambo yalitakiwa yamchanganye kijana anayeanza maisha, au mtu ambaye anasomesha na...
Danga test !
Milionea anakutumia private jet kwenda Italy, yupo kwenye hoteli kaliiiii na utalipwa $600,000 kwa siku 2 tu, ukiongeza unapata $200,000 kwa kila siku ya ziada.
A. Nadanga like crazy...
Nafikiri wakitajwa watu wazima watoke, nami naweza kutoka mbele. Miaka 30 sio mchezo aisee
OK TUYAACHE HAYO.
Aisee naomba ushauri kidogo katika suala la kupata elimu kidogo ya kujilinda binafsi...
Nakumbuka kuna kipindi nilikua na mwanamke flani hvi (mweupee mwembamba, msafiiii) kiukweli hapo ndio udhaifu wangu ulipo.
Mwanamke wa kwanza mweupe,mwembamba,msafii nilimpa 60,000 kwa mkupuo...
Hawa ni jamaa zangu na ni ndugu zangu hapa JF Long time sijawaona kabisa wakipita njia hii.
Sio wengine bali ni maswaiba zangu Mr Rocky na utafiti mara ya mwisho niligongana nao kule jukwaa la...
Nawaza tuu!
Utakua ndio mwisho wa maendeleo ya Teknolojia.
Vita kila mahali
Na si ajabu maisha yakawa magumu na ya hatari zaidi ya ilivyo sasa.
Na Hapo Ndipo Tutakapo Amini MZUNGU Ukitoa 'Z' ni...
Mimi ni kijana wa miaka 30 naishi Moshi Kilimanjaro nina mke na watoto 2 najishuhulisha na biashara mbalimbali ili kukidhi mahitaji yangu yakila siku..
Nahitaji marafiki wa kike wakuchat na...
Maisha ni magumu sana aisee, huwezi amini mm nimeamka leo nina 2000/= tuu, nauli mpaka job 400, so nimebakiwa na buku na mia sita (1600) Jioni sijui nitafanyaje, sijanywa hata chai na mchana...
Wakati nikiwa ofisini nimetulia zangu, aliyewahi kua ex wangu ambae anafanya kazi kama mfanyakazi wa ndani kwa diamond, kanipenyezea habari za kushangaza anadai huyu msanii wetu anamipango ya...
Wapendwa poleni na mihangaiko ya corona!!
Mimi kwangu kiumbe waajabu zaidi ni mwanaume
Anatafuta pesa kwanguvu zote afu tukiwaomba wanaanza kujishika shika nakunyiuma uma mwisho wa siku...
Habari zenu ba ndugu
Nataka kwenda Zanzibar kukaa kama wiki na ubavu wa kushoto.
Kunahitaji bajeti kiasi gani kula, malazi, nauli na kutalii kidogo?
NB: Wananchi wa uchumi wa kati
Sent using...
Baadhi ya vitu nilivyo danganywa ni:
1. Kifimbo chake akikiweka chini hakuna anayeweza kukinyanyua hata waje watu 50 hawawezi.
2. Alikuwa na kibuyu cha maziwa fresh ambacho aliambiwa siku...