Haiwezekani waliochaguliwa wote ni wale wabaya wenye sura za karafuu na maumbo ya pilipili manga. Halafu warembo halisi wenye sura na uzuri wa asili kama mie Mshangazi na miss Gf tukawekwa kapu...
Binafsi nimewahi kutembea umbali takribani kilometer 100.
Ilikuwa ni safari ya kwenda na kurudi na ilinigharimu siku moja ya kwenda na siku ya pili ya kurudi.
ilikuwa nimeelekea msibani na...
The day is finally here shostie. Have loads of fun and more happy days of joy .
Let your life be filled with health love strength success and passion.
Wish you more years of happiness and...
Kuna mbibi humu watoto wa jana hamumjui kabisa yaani akianza kusifia jinsi alivyokunwa utapenda.
Yupo wapi huyu bibi jamani asiyezeeka?
Popote ulipo bibi tumekumisi na stori zako za kusifia...
Igunga kesho dakika za jioooooniiii kabisa nitakuwa hapo.
Baada ya kupata fedha zangu za mauzo ya korosho (mnada wa kwanza na choma choma)
Nimeona ni Bora nitembelee Igunga mahali ambapo...
Ili kuepusha kuharibu nyuzi nyingine kama ambavyo imekuwa ikitokea katika majukwaa mbali mbali
Sasa rasmi huu ndo Uzi wenu wambea wa jf na nje ya JF.
Kwa umbea Wa ndani au hata nje ya JF...
Zamani nilidhani mambo yako simple kumbe ni magumu sana, sikujua uhalisia
1. Kufika South Africa
Zamani tuliamini South Africa ni hapo tu bondeni,
Yaani life likibana hapa Kwa Nyerere ni chap...
😆
Just imagine sasa hivi umri ulionao mwaka 2070 utakuwa na miaka mingapi?
Kizazi cha 1990 mpaka 1999 ndio watakuwa wazee wa busara 😀
HALI ITAKAVYOKUWA
Enzi zetu kulikuwa na msanii anaitwa...
http://1.bp.blogspot.com/-3n9zUDPKyT...ty-massage.gif
Haya tena wadau wa JF.
Baada ya kufanya utafiti wanakamati tumeona kwamba Kebbys Hotel ndio kuna gharama nafuu na masharti yao sio magumu...
Mzuka wanajamvi.
Tafiti za uhakika zimethibisha waziwai watu wengi wafupi wa kimo na wenye miili midogo duniani wanaongoza kwa maendeleo, utajiri, maendeleo, akili, mafanikio, uongozi pamoja na...
Kuna watu huwa wanalike kila post, hasa pale anapoanzisha uzi halafu watu wakachangia. Utakuta analike tu kwa aliyemjibu vizuri au hata aliyemjibu vibaya yeye anatoa like tu.
Lakini tangu...
Huwa nashangaa sana mtu anasema amenunua wigi la millioni saba. I know I love expensive things lakini there is no way siku nikiwa na mamilioni ya hela nikanunua wigi la millioni 7 au 15.
No way 😤...
Leo nilikuwa kawe kwenye msiba wa Askofu Jonathan kwanza nilikuwa nahuzuni kweli moyoni.
Mpaka pale alipo panda Askofu mkuu wa makanisa ya Calvary akatoa maneno ya kuchangamsha kusahaulisha...
Makamarade nimeona nianzishe huu Uzi ili kupeana uzoefu wa maisha ya Jela. Sisi wote ni wafungwa watarajiwa alijisemeaga magufuli.
Sasa hebu tupeane mbinu maisha misamiati tamaduni taratibu za...
Wakuu Baada ya kufanya utafiti mwaka huu mzima kuhusu watu wenye mchango mkubwa hapa jf hatimaye nimekujana na generalization of findings
Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa jf
1 Labani...