Salaam
Kutokana na mvua zinazonyesha sehemu tofauti ni mengi yameibuka! Huko Dar es salaam baadhi ya vijana wetu wamebadili chakula na sasa wanatumia chakula hiki!
My friend
Tuache tabia ya kujimwambavaisha hii dunia tunapitia tu
Mdogo wangu nimemwagiza aniwakilishe kwenye harusi sikuona mtu mwingine bali ni mdogo wangu tu ni mtu poa sana
Watanzania waishio Ughaibuni wanaojifanya kwao mambo super. Tohombe alizaliwa Kiwalani CCM na kwasasa anaishi Washington DC.
Hana msaada kwa mama yake na nyumba yao alikozaliwa mwenyewe...
Hapa ni mwendo wa kula bataa kwa wale wa pay cheki kazini jumanne na hivi Dar kuna kamvua kujamiiana kwingi miezi Tisa baada ya sasa vibendi. Uzi tayari
Biblia inasema: *MWANAMKE NI KIUMBE DHAIFU*
hapo hapo inasema *TUKAE NAO KWA AKILI.*
Na bado inasema *MWANAMKE NI JESHI KUBWA*
Swali?
Walijifunza saa ngapi uwanajeshi na ili kudhibitisha kwamba...
Mke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa
naprint matshirt saba,moja...
A father put his three year old daughter to bed, told her a story listened to her prayer which she ended by saying: "God bless Mommy, God bless Daddy, God bless Grandma, and good-bye Grandpa."...
Wakuu tufanye kujuana hata kwa hisia hebu tupia jina la mtaa uliopo na kitu/ mtu maarufu kwenye hizo pande zako unaweza ukakutana na jirani yako humu
Mimi...
Mwili unauma sana karib mwezi na kitu sasa lakini sina homa, na mwili unanguvu kama kawaida ila unauma tu kila siku hasa nikifanya mapenzi keshoyake naamka viungo vyote vinauma hili ni tatizo gani
Hivi ni kwanini ama ukiingia tu Ofisini kwa Mtu au ukikutana na Mtu ' anaperuzi ' Simu yake na akiwa ' anaukodolea ' Mtandao huu wa JamiiForums haraka sana utaona anauondoa / anauzima kisha...