Umepita mda kidogo toka kisa hiki kinitokee,kama miezi mitatu imepita.
Mtaa ni ninao fanya ni karibu sana na kitu cha daladala,pia zile kama unafanya unakua maarufu sababbu ya fani yani.
Sas...
Kuna jamaa mmoja alikuwaga anakera sana watu kwa kutaka kila anachokisema watu wakubaliane naye basi siku moja hao watu kati yao alikuwepo mgeni na baadaye yule mtu naye akaonekana akija, wale...
Mtoto: Kwa nini umenunua nyumba kubwa hivi?
Dingi: Pesa ni zangu, nazifanyia vile nitakavyo.
Siku iliyofuata dingi akamnunulia mtoto mdoli (mwanasesere)... Haikuchukua muda dogo akauchomoa mkono...
Hivi wale MA brother men wanaopostigi picha mkiwa kifua wazi mnamlingishia nani vititi vyenu?? au mnataka tujue kua na nyinyi mna vichuchu saa 6??
...[emoji50][emoji50]..!!!
Hello ..,Natafuta mwanamke wakuchart nae na kubadilishana idea mbali mbali za kimaisha ,umri; usiozidi 25 ,Dini yeyote maana ni Urafiki tu wakimaisha
Much thanks [emoji120]
Ujinga ni et unajinyonga kisa Mwanamke ambaye umemkuta sio bikra amekukataa halafu unatuachia na ujumbe ili kutusumbua. .Kuna wanaume Mungu awarehemu maana nikisema mm mtasema nawatukana.
Ikawa baada ya mambo
hayo, mke wa bwana wake
akamtamani Yusufu,
akamwambia, Lala nami.
Lakini akakataa,
akamwambia mke wa bwana
wake, Tazama, bwana wangu
hajui kitu kilichowekwa kwangu...
This thread is sponsored by Iphone XR
Eebanaee Comrade hapa!
Its one more time!
Kwa style tofauti kidogo.
Aseee way back kidogo enzi hizo, kipepe nikiwa naskuli katika shule ya msingi fulani...
Happy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mie na wewe tunajuana wenyewe [emoji847] nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa...
Mwanamke siku zote huwa anaamin mme ndie atakaeanza kufa. Kama unabisha mwambie 'hii nyumba nataka tuiuze' utaskia alafu siku ukifa mi nitaishije na watoto?
haluuuuu limependezaje sasa?
mwaya wala usiwaze utalipataje bali fanya hivi.
weka pesa kwenye simu yako yaani mpesa, ama tigo pesa, ama airtel money, ama ezypesa. kisha ingia jf upande wa...
Mie mwenyewe bila kufosiwa nilivuta maskani (nilikua na kipimo maalum)
Sasa mambo ya masifa yalipoanza nikaanza kuongeza dozi(si unajua tena kushinda shinda stand nikajiona dereva)
Nakumbuka...
Title inajieleza.
Mpiga punyeto maarufu au mbobezi hata umwozeshe mabinti 100 au zaidi ambao wameshinda taji la urembo ndani ya nchi zao haachi ng'o.
Hata umwoze kijiji kizima haachi ng'o.
Mpiga...
Hbr zenu wanajf
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea
Aisee
Ni muda sasa (sijui ni mm tu au na wenzangu) nikigoogle vitu vingi vinatokea vya JamiiForums
Let’s say umegoogle kuhusu ajira...
Kuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.