Wanajamvi,
Kila mara nikiweka picha yangu halisi, member wengi huwa wananishauri nirudishe ya Tupac, sasa nimeona niachane na utumwa wa kukaa kivulini,nimeweka avatar ya picha yangu halisi! God...
Mic check! mic check one two!...
ni nani tena kama sio the JUNGLE MASTER!? niite Champ au THE ICON.
Ohhoo ebanaeee mida hii nipo mezani hapa, ndani ya mgahawa mmoja classic sana! pembeni kuna...
Eti nyie wanafunza wa IFM 3rd year, Mmepewa kazi ya Project management?????. Maana, Wife ananiaga now saa moja jioni akiniambia anaenda discussion? Kweli kuna assignment?
Mimi nimebaki kucheka...
Msajiri wa timu jiji cairo amefuta matokeo ya jana na ametishia kufuta mashindano hayo kama Tanzania haita fanikiwa kuingia 16 bora.
Hayo yametokea baada ya shirika la mpira africa kupeleka...
Wakuu Mambo vp
Natarajia kufika mji wa Kigali mwezi ujao...mwenye amewahi kufika au anaishi Kigali aniambie vifuatavyo
Gharama za kulala kwa madaraja yote matatu yaani chini Kati na juu
Nataka...
Leo niko hapa Bukoba town karibu NA mayor hotel naomba kujua viwanja vya kwenda kutolea uchovu maana sio kwa hali ya hewa hii inashawishi.
Nipen viwanja nikapige katerero maana nasikia wako vizur
The Catalyst has brought chemical changes in Chato, historically Chato will be accommodating tourists like Arusha, Moshi and Manyara.
If wishes were be horses, Mirerani would have been moved to...
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya
Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "malogy
mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu
nipo Kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao,
akacheka sana...
Nimezaliwa na kukulia jeshini 601 KJ airbase Ngerengere jeshini ila dingi kauzu sana, nilipofikisha miaka 6-9 dingi alinipeleka na kuniacha singida kijijini saaana nijifunze desturi na mila za...
Kawaida ya hoja hujibiwa kwa hoja, utafiti hupingwa kwa utafiti.
Iko hiviii wale ndugu zangu wanaomiliki au kutumia simu zinazotengenezwa na kampuni ya Tekno ndio hupendelea kutumia nyimbo za...
Kwa kuwa Tanzania inaingia uwanjani kucheza ili kukamilisha ratiba ili ipande ndege kurudi Tanzania,huu mchezo uchezewe uwanja wa Ndege ili wakishakula zao za uso kama 6 hivi ili kuwarahisishia...
Nilikiwa STD 6.
Kuna Binti mmoja alikuwa amekamilika kila idara.
Alikuwa mlimbwenda
Kiakili (Darasani)
Kimaumbile.
Kisura.
Kiroho
Kimaadili
Kilugha ( Hakuna aliyekuwa anamkaribia ENGLISH...
Natamani kuoa ila kuna kikwazo kimoja kinanichanganya sana nina wasichana watatu sasa naona umri umefika na hao wasichana wote nawapenda hivi kuachana nao nifanyaje fanyaje?
1.Nini maono ya hili tabaka linalopelekea kuharibu vijana wengi wakike.
Na kwa namna ipi tuwasaidie watoke kwenye hili tabaka maana wapo wengi sana kwa sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.