JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwamba kila mtu ale kazini kwake
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Umepita mda kidogo toka kisa hiki kinitokee,kama miezi mitatu imepita. Mtaa ni ninao fanya ni karibu sana na kitu cha daladala,pia zile kama unafanya unakua maarufu sababbu ya fani yani. Sas...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Kuna jamaa mmoja alikuwaga anakera sana watu kwa kutaka kila anachokisema watu wakubaliane naye basi siku moja hao watu kati yao alikuwepo mgeni na baadaye yule mtu naye akaonekana akija, wale...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Changamoto ni nini?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtoto: Kwa nini umenunua nyumba kubwa hivi? Dingi: Pesa ni zangu, nazifanyia vile nitakavyo. Siku iliyofuata dingi akamnunulia mtoto mdoli (mwanasesere)... Haikuchukua muda dogo akauchomoa mkono...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi wale MA brother men wanaopostigi picha mkiwa kifua wazi mnamlingishia nani vititi vyenu?? au mnataka tujue kua na nyinyi mna vichuchu saa 6?? ...[emoji50][emoji50]..!!!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimefanikiwa kuolewa na kufunga ndoa takatifu ndani ya kanisa fulani takatifu. Naambatanisha picha "yangu" na ya hubby
3 Reactions
107 Replies
6K Views
Hello ..,Natafuta mwanamke wakuchart nae na kubadilishana idea mbali mbali za kimaisha ,umri; usiozidi 25 ,Dini yeyote maana ni Urafiki tu wakimaisha Much thanks [emoji120]
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ujinga ni et unajinyonga kisa Mwanamke ambaye umemkuta sio bikra amekukataa halafu unatuachia na ujumbe ili kutusumbua. .Kuna wanaume Mungu awarehemu maana nikisema mm mtasema nawatukana.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ikawa baada ya mambo hayo, mke wa bwana wake akamtamani Yusufu, akamwambia, Lala nami. Lakini akakataa, akamwambia mke wa bwana wake, Tazama, bwana wangu hajui kitu kilichowekwa kwangu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
This thread is sponsored by Iphone XR Eebanaee Comrade hapa! Its one more time! Kwa style tofauti kidogo. Aseee way back kidogo enzi hizo, kipepe nikiwa naskuli katika shule ya msingi fulani...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Happy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mie na wewe tunajuana wenyewe [emoji847] nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa...
21 Reactions
127 Replies
7K Views
Wakuu kwema? Naomba mwenye historia ya MULLAH OMARY yule mataliban alipotea mwaka 1999 mapa leo hajulikanai alipo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwanamke siku zote huwa anaamin mme ndie atakaeanza kufa. Kama unabisha mwambie 'hii nyumba nataka tuiuze' utaskia alafu siku ukifa mi nitaishije na watoto?
5 Reactions
5 Replies
1K Views
haluuuuu limependezaje sasa? mwaya wala usiwaze utalipataje bali fanya hivi. weka pesa kwenye simu yako yaani mpesa, ama tigo pesa, ama airtel money, ama ezypesa. kisha ingia jf upande wa...
13 Reactions
101 Replies
6K Views
Mie mwenyewe bila kufosiwa nilivuta maskani (nilikua na kipimo maalum) Sasa mambo ya masifa yalipoanza nikaanza kuongeza dozi(si unajua tena kushinda shinda stand nikajiona dereva) Nakumbuka...
4 Reactions
5 Replies
808 Views
Title inajieleza. Mpiga punyeto maarufu au mbobezi hata umwozeshe mabinti 100 au zaidi ambao wameshinda taji la urembo ndani ya nchi zao haachi ng'o. Hata umwoze kijiji kizima haachi ng'o. Mpiga...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Hbr zenu wanajf Kama kichwa cha habari kinavyojielezea Aisee Ni muda sasa (sijui ni mm tu au na wenzangu) nikigoogle vitu vingi vinatokea vya JamiiForums Let’s say umegoogle kuhusu ajira...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Bandugu na jambo moya nabasalimu shana hapa Bukavu ndio tunatomboka masasi ya M23 yapita kwa juu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba...
11 Reactions
385 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…