Habari
Mimi ndugu yenu nikishakula ugali wa dona na
dagaa vumbi , hakika huwa sifanyi yafuatayo nikiingia JF.
1. Huwa si comment hovyo hovyo
2. Huwa simjibu mtu kwa dharau kisa tunatumia...
Habari zenu wakuu ?
Kitambo sana sikuwepo jukwaani kutokana na sababu iliyokuwa nje ya uwezo wangu.
Hivyo wale washikaji zangu mliokuwa mkinitafuta au huwa na hofu juu ya kutoonekana kwangu...
*Nawasalimia [emoji68]WASICHANA na WANAWAKE [emoji70]wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_
_*Nawasalimia WANAWAKE na WASICHANA weupe...
Prof Janabi Aliulizwa swali
“Je kwa nini umeamua kuacha kula vyakula vyote vya ngano na juisi pia Umeacha kula vyakula vingi vya Nafaka”?
.
Alijibu hivi:
1. Kutokana na Nature ya Kazi yangu...
STORY ZA WASICHANA KTK SIM
Mary... Hallow mpenzii
Lily.... Niambie my dear
Mary.. Pouwaa za siku jamani
Lily.... Nzuri rafiki Yangu wa damu
Mary.. Jioni nakuja kwako tule Na
kunywa japo wine...
Long weekend iliyoambatana na sikukuu ya pasaka imeacha majeruhi na makovu mengi kwenye kila idara kuanzia afya mpaka mfukoni
Wengi saa hii wamejilalia tu home wengine wamekuwa wapole kupitiliza...
Ni kauli nimeisikia nikiwa katika bar moja karibu na kumbi za bunge mkoani Dodoma, Yaani huyu mrembo alikuja mida ya sa 5 asubuh alipowaona wenzie akatoa burungutu la hela Kama mia 4 ama 5 ivi na...
Jamani nimeleta mzigo mpya wa sidiria za kisasa.
Kama unahitaji, usijipe tabu ya kusema unavaa namba ngapi,
Just nitumie picha ya maziwa yako tuu, ntajua unavaa namba ngapi!
Pia mwezi ujao...
Jana kwangu nilikuwa nimetulia usiku saa 5,
Mara ghafla nikaskia mayowe kwa jirani, majirani wote tukatoka kwenda kumsaidia mwenzetu huku tukiwa tumejihami kwa mawe, marungu na mapanga.
Na...
Toka Jana usiku niingie magetoni nimevunja rekodi kwani mpaka saa hizi ninavyopost hii thread huezi amini sijatoka nje.kila kitu namalizia humu humu ndani bahati nzuri palikuwa na kiporo Cha...
Naomba utunze heshima, ulilinde na jina
Nimekukabidhi mtima
Aliyenipa karima,
Yooote nimekubali Mimi .
Me niko tayari niamini,
Nikiwa chizi ni wewe,
Aaah eeh,
We ndo sababu,
Sitaki moyo wangu...
Happy birthday to you super woman all the way from USA, mama kenzo, mama bhoke na mama kaenu aka ex Muke ya Muzungu, I wish you a long life dada ake, kiboko ya bashite, lol
Sema nene mbea...
💞💕💞💕💞💕
*MOYO* wenye huruma ni dawa
kwa wenye machozi
💦💦💦💦💦💦
Kila aonae thamani ya mwenzake hupata thawabu ktk ufalme wa
*M.MUNGU* 💎💎💎💎💎💎
Najua c rahis kuish bila
kikwazo ktk *MAISHA*
🌀🌀🌀🌀🌀🌀...
Kuanzia leo nami nakuwa ' Mchagga ' kwa muda ili tu nisiwe mbali na ' Tukio ' zima lililotokea kwani kwa ninavyowajua ' Wachagga ' walivyo kuanzia leo hii ni mwendo wa Nyama, Bia na Mavyakula ya...
Siku nimeenda kununua condom duka la dawa hapa jirani, nikamkuta mama mmoja hivi jirani yetu, ilibidi nimwambie mhudum wahudumie kwanza hao sina haraka. Nimekaa pale dk5 yule mama hatoki duh...
Nimegungua ana faa sana kuwa Rais wa Jamhuri wakati naota leo usiku.
Kwa vichekesho zaidi tuma neno dhaifu kwenda 0000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzenu nimekua mgonjwa wa Mazoezi ya Asubuh.
Kukimbia kuzunguka uwanja kwa dk 45,na Mazoezi ya viungo kwa dk 15,naanza Saa kumi na moja Kamili asubuh..
Nikimaliza Naoga maji ya Vugu...
Leo nakumbuka ile way back nikiwa chalii yaani bado mdogo wakati huo nikiwa napata kila kitu kutoka kwa wazazi kuanzia kula, mavazi mpaka lala yangu ilikuwa juu yao mi nikiwa kama boss mtoto...