Matajiri wa Afrika wengi wametajirika kwa njia kuu tatu.
1. Ushirikina
2. Ushiriki Siasa
3. Ushiriki Dhulma
Na ndo maana utakuta kwa kiasi kikubwa hujaribu kuosha kikombe kwa nje ilhali ndani...
A. Alykum.
Khreri na baraka kwenu,
Panapo majaliwa yake Allah, kesho ama keshokutwa waislam kote duniani wataingia katika funga ya ramadhani.
Nawatakia funga njema ya mwezi wa ramadhani
Nimekaa mgahawani nawasikia vijana wanatongozana. Mwisho msichana kamwambia mvulana, sina simu ukitaka kanunue smartphone tena sio Tecno weka vocha na save namba yako tu niletee uone kama...
MTU akiumwa tunaenda kumsalimia na mchele kili 10 ,mafuta Lita 5,nyama kilo 6 maharage kilo 5 nyanya, vitunguu na viungo vya pilau [emoji39][emoji39][emoji39]Nakama tumekubaliana tuanze kesho...
Mnaogawa Vyakula na Vinywaji tunaomba katika ile Sufuria ya Nyama muwe mnawaachia Sisi Waombolezaji wenyewe ndiyo tuwe tunajipakulia kwani wengine tukipakuwa huwa tunapakuwa vya Kula Siku Mbili...
Kila kitu kina gharama yake wapendwa.
Kabla hujafanya maamuzi jipime kama utamudu.
Hakuna jambo lolote lisilo na wajibu.
Kabla hujaamua kuolewa/kuoa jipime kwanza Kama utaweza au japo kujitahidi...
Hivi kwa nini ukiwa masikini/mvimba macho/kapuku/pangu pakavu,unakuwa unamaindi sana mambo yasiyokuhusu na yasiyokusaidia.
Au hiyo tabia huanziaga kwenye ubongo wa mtu?
Toa maoni bila chuki hata...
Jamani na nyie wanaume mna mioyo ya ajabu, Sasa warumi mie na umbea wote huu kutwa kusutana kucha humu , bado mtu anakuja inbox ananiambia ananizimikia🤣🤣, nyie ndo mnawabaka hadi vichaa mnawapa...
Wanawake wa kabila la kijita ni kama Tissue ikisha loana tu haina kazi ..yani mwanamke wa kijita ukimgombeza kidogo tu ashakutishia kurudi kwao mbaya zaidi ukimpiga hata Kofi anabeba vitu vyote...
Eti utakuta mwanaume mzima, na akili zake timamu na kwa makusudi kabisa anafunga Pm yake.
Hivi naomba kuuliza, wewe mwanaume unafunga Pm ili iweje?
Unaogopa kutongozwa Pm au unaogopa kuombwa pesa...
TOFAUTI YA UCHANGIAJI WA MADA KTK FACEBOOK, KATI YA MAREKANI NA BONGO:
Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha...
Wakuu naomba, msaada hapa computer hii naitumia kila siku inawaka vizur, lakin leo imeguma kustart window.
Inadai Re-image your computer.
Nikijaribu kuruhusu inafall.
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga, dirisha zinakuwa tinted!
2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati THU hii hao (HOUSE) ni noma.
3. Vile wewe mfupi, ukipigwa...
Chemistry bhna...
nakumbuka ...[emoji23] unaingia exam room unakuta swali hujawai sikia tangu Form one..
unaenda swali LA pili linasema explain your answer in Q1 above...unaishiwa nguvu...
Me uwa najishangaa sana nikipita karbu na mji wa mtu afu nikaskia demu wa pale anapigwa ile saut yake yaan akiwa anaria me kuna hisia zinazo kuja ndan yangu najikuta nisha smamisha et wakuu hili...
Najua wengi sana tunatamani kuwasiliana kwa kutumia emoji au picha.
Mwanamke changia uzi huu, mwanume atakayeku-quote, mjibu kwa kutumia emoji au picha yoyote.
Karibuni.
Kwa niaba ya wanaume wote mikoani hususan Arusha naomba kutoa tamko kwamba yule mwanaume aliebebwa na maji ya mtaro *siyo mwenzetu*. Yeye alikuwa abiria toka Dar aliekuja kumsamlimia rafiki yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.