[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kama wewe ni mkulya- kaa kulia
Kama wewe ni msukuma- kasukume wasukuma wenzio
Kama wewe ni mjita- jitahidi ufikie malengo ulionayo
Kama wewe ni...
Mara nyingi safari yetu hapa duniani (njiani) huwa ni fupi sana, ndiyo ni fupi ila cha ajabu tunadhani kwako itakuwa ndefu kwa kuwa tuu una pesa, mtu wa heshima yake, una mamlaka! Yale ya...
Wakati umetekwa na Wasiojulikana na ili wakuachie huru uchague moja wakufanyie kati ya haya yafuatayo:-
1) Wakutoe Nuru ya macho uwe kipofu, au
2) Wakutoe mdiso, "Jongoo asipande mtungi".
Bruce Forsyth mwaka 1983 alimuoa miss Puerto Rica, Wilnelia tofauti ya umri kati yao ilikuwa miaka 25.
Mwaka 1973 Michael Cane alimuoa miss Guyana Shakira Baksh sasa hivi anajulikana kama Lady...
Kwa herini Wana Jf ndivyo unavyoweza kusema.id mashuhuri kama ndege John haitakuwepo hewani kwa kipindi kisichojulikana.Nimeamua niwaage Mambo yamekuwa mazito nyakati hizi hapa ambazo hela hamna...
Ila nashukuru Mungu tu kwamba Utafiti huu kwa Tanzania inaweza isiwe hivyo kwani tokea nianze Kuona / Kushuhudia na Kuhudhuria Misiba mingi Watanzania wengi huwa wanakuwa hawana Umbea wala Ulafi...
1.kupiga punyeto/kujichua
2.mahusiano ya kimapenzi asiyokuwa halali kisharia
3.kula/kunywa kwa kukusudia
4.uumikaji
5.kuvuta sigara
6.kufanya tendo la ndoa na mkeo muda wa mchana
Kipindi Cha , karne ya 14, barani Ulaya, walikuwa wanauwa paka baaada ya kuwahusisha na uchawi.
Baada ya kuuliwa paka wengi, ulitokea mlipuko wa Gonjwa la TAUN/PLAGUE, ambao unasababishwa na...
wakuu habari za mda huu wapendwa leo nimependa kutaja vitu ambavyo siwezi kuvifanya wala kuvitumia toka nimejitambua
1. Kutafuna jojo a.k.a big j
2. Kuvaa ndala za bata
3.kuvaa nguo ya mtumba...
Mambo makuu matatu yanayopendwa na wazanzibari ni haya yafuatayo
1. Dini - wazanzibari wengi ni waislamu na wanaipenda sana dini yao
2. Siasa - wazanzibar wengi wanapenda na wanashiriki siasa...
Mimi zamani nilikuwa nabisha kwamba hakuna kitu kama hicho ila baada ya kuchezea mitoso kadhaa jamaa yangu akanipa dawa moja unajipaka kama mafuta na nyingine ni vimiti unameza aisee nimegegeda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.