JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukisikia kigoma mwisho wa reli sio mwisho hapanaa.. ndio mwanzo wa mambo mazuri ya kuvutia na kupendeza.. kigoma iliyobarikiwa vipaji, elimu, mazao mbalimbali mbalimbali kutoka majini na nchi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jiamini kama Mmeru, tafuta hela kama Mrombo, tunza hela kama Mpare, kuwa brand kama Mmasai, ongea na wateja kichangamfu kama Mzaramo, usiendekeze sana undugu kama Mrangi, Kuwa na network zenye...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndoto hii ilianza kunitokea mwanzoni mwa mwezi wa nne lakini mpaka sasa imefikia mahali ambapo hata mimi inanipa wakati mgumu kuamini kile kinacho endelea. Kwa mara ya kwanza niliota kuwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nasema sitaki.............
0 Reactions
60 Replies
3K Views
Huenda ni kawa sawa ama la ila tutashea idea pamoja hawa ni viumbe wawili tofauti ebu ona sifa hizi VIMBAUMBAU (a)Ni wakorofi hatari (b)Wana fitina kama ngedere (c)Wasafi kupindukia (d) Hawaoni...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Naona video ya ghwajima imeadimika sana hapa town haaa .. watu wanaitafuta kila kona na hawajaipata. Ila kwa uhakika Kakobe anayo japo bado anaiangalia apate uhakika. na ghwajima mwenyewe pia...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Maisha bhana
3 Reactions
6 Replies
912 Views
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :- 1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar[emoji85] 2. Unaishi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Tuombe isilete madhara
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Katika maisha mwanadamu hupitia vipindi mbalimbali vya ukuaji...infancy, childhood, adolescence, adulthood, old age & death. Sasa katika vipindi hivi vya ukuaji kuna wakati, hasa katika vipindi...
4 Reactions
102 Replies
10K Views
Umealikwa jioni na Mvulana(New Lover) Kwani ni lazima mje wanne na mbaya zaidi wote wanakunywa Savana na mmoja mwenye dozi yeye anakunywa Red Bull kwani lazima unywe Savana au Red Bull wakati kwa...
7 Reactions
55 Replies
7K Views
Harusi za marekani Walioalikwa :100 Wanaohudhuria kanisani :80 Wanaohudhuria ukumbini :70 Wanaotoa Zawadi:65 Vitu vilivyopotea : 0 Harusi za uingereza Walioalikwa :50 Wanaohudhuria kanisani...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za muda huu..Mamong'oo Mara ng'oo kalangolo silechi manjelee,,Mko full bas aina gweraa.!Nimeamua kusololesha.nyuzi hii hapa fiade kwa wale ambao tushawahi kudhulumiwa mazaga etu,iwe...
1 Reactions
11 Replies
851 Views
Tumezoea wanawake ukitaka kuwapata unawaonyesha ulichonacho. Nitatoa mfano. PM. Ukishaingia utaanza kutafuta namna ya kusuka meseji ajue unakula Nando's na unamiliki usafiri na hauishi Mbagala...
6 Reactions
121 Replies
6K Views
Wakuu kiukweli Mimi Sina hela na ndo maana hata demu sina mwenzenu.zamani nilikuwa na mchongo wa kuuza karanga na vifaa vya simu ila nikapata matatizo fulani mtaji ukafa nikarudi nyuma.kwa Sasa...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Mwanamke anaweza mpenda mtu ila akashindwa kumwambia. Sasa hapa ndo uwanja wenyewe wa kuvunja ukimya. Ukikomenti hapa chochote, demu akikupa like jua huyo ni wako, ingia PM myajenge. Na wewe...
14 Reactions
671 Replies
41K Views
Niaje? Mzima? Mishe zinakwendaje? Kama wewe mwana wa ukweli,like hapa,niku add!
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Mapenzi ni kama kiti cha basi ukishuka wewe mwengine anapanda anakalia.Hivyo ni vizuri kutumia siti kwa uangalifu ili anakuja kukaa akute kipo...
9 Reactions
71 Replies
4K Views
Back
Top Bottom