DARASA HURU
Usiku Mmoja Kabla Muuza Duka Hajafunga Duka Lake Aliingia Mbwa Dukani Akiwa Na Kibegi Mdomoni Ndani Ya Kibegi Kulikuwa Na Pesa Kiasi Na Orodha Ya Vitu Vilivyotakiwa Kununuliwa.
Muuza...
Poleni na majukumu wazee wezangu na wanangu pia, najua mmechoka sana huu utawala wa liganga (jiwe) but msijali aya yote mapito tu na mwisho itakua ni mwakani kama tutaamua kulitoa ili liganga...
Habari
"JE, WAJUA KITANDA KINA KAZI MBILI?"
Hujui eeh ! Twende hizi hapa !
1. SLEEPING ...... KITANDA ni kwaajili ya KULALA , KUMBUKA kitanda sio sehemu ya kuwazia maisha yako(kama kuna kitu...
Hakuna daftari linakuwa na taarifa za uongo kama lile la lodge au guest. Wahuni bhana huwa pia waongo waongo.
Mtu anaandika katoka Bunda kumbe katoka Bunju yupo Sinza lodge.
Hakuna kitu kinakela kama kuulizwa utaoa lini?Kila mtu ana maisha yake sisi mabachela hatupendi usumbufu tuna penda Uhuru sasa unaoa halafu unaulizwa huko wapi unafanya nini saivi hupo na nani...
Walikuwa wananata sana kama vile wazazi wao wanamiliki dunia. Bila shaka mtakuwa ni wajumbe wa bodi ya michezo ya kubahatisha au wakurugenzi wa Kampuni za kubeti.
Nasikia kuna hii kitu huzungumzwa sana na watu hasa wanaume je ni kweli ukikuta ndizi kwenye geto la mwanamke usiile? Na kwa nini?
Wajuzi wa mambo nifumbueni.
Nipo Kibishara zaidi, ninao mabinti waliofunzwa kufanya kazi hiyo ili kujiajiri na kujiongezea kipato.
Wale wanaofikiria kungonoka wasipoteze muda wao kuni-PM~~~ Huduma hiyo haipo
Niaje Wadau, kwa wajuzi wa mambo haya ya ki rastafari naulizia ishu moja, ishu yenyewe ni kuhusu Leseni (Nasikia ipo) ya urastafarian yaani hata ikitokea ishu ama la kutokea huwezi kunyolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.