Matajiri wasinge kufa wala kuzeeka wala kuugua. Ninamfikiria Steve Job wa Apple 🍏 ameondoka na dream zake
Some of his quotes
“I want to put a ding in the universe “.
“Design is not how it looks...
Baada ya Pilika Za Kutwa Nzima Ya Leo Nikaona Jioni Hii Nikae Kilingeni Nipate Moja Moto Moja Baridi Niondoe Uchovu Mwingi Wa Kutumikisha Akili Na Mwili Wangu. Asee Bia Zinashuka Tuu No Tamu Balaa...
Jamani washikaji nina swali nataka niulize humu Jamii forum, eti Umetoka kwenye mizunguko yako ya kila siku ya kutafuta mkate , wakati uko njiani kurudi maskani , unakutana na tukio la ajabu...
Vijana watatu wasomi wa Chuo Kikuu kimoja walitoroka mtihani kwa sababu hawakujiandaa.
Wakaja na mkakati wa namna ya kumdanganya Mhadhiri; hivyo wakakubaliana wajichafue kwa kujipaka Oili chafu...
“Most of the Enemies you have are people you once helped in life “
“ Wengi wa Maadui zako ni wale Watu ambao ulishawahi Kuwasaidia Kimaisha “
Ukiniuliza Mimi GENTAMYCINE nasemaje kwa hii ‘ Kitu...
Wakati mwingine unatamani uchangie mada fulani lakini unajikuta umechoka hata ku typing tu ile unaona uzito,na Mambo yenyewe yako mengi mda mchache..Sasa napendekeza katika maboresho katika app...
*Kwa jinsi navopenda biashara na hii mvua nataman niseme nauza matope na manyunyu kwa jumla na reja reja* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Watu waishio dar huwa wananifurahisha sana sometime, tukiwa mikoan kwetu wanakuwa wakarim sana, mara utackia karib sana dar bwana, ukija usiondoke bila kunitafuta uje upaone hta ninapoishi ndugu...
Habari za wakati huu wakuu, nielekee moja kwa moja kama kchwa cha habari kinavoelekeza, na imani miongoni mwetu n watumiaji wazuri wa daladala, komenti kwa kutaja/kutoa kauli ulizowahi kuzisikia...
Wakuu kifo kwa sasa kipo nje nje watu wamekuwa wakaidi halafu Mambo yanatisha Hali Ni tete.kila mtu na time yake.hatari sana yaani Mambo yamekuwa conk.kupotea Ni dakika sifuri kufa kupo tu ndani...
#mtazamo...
* Kumnunulia demu wako simu [emoji338][emoji338][emoji338] halafu mwanaume mwenzako anamnunulia vocha [emoji389][emoji389] huo ni MWINGILIANO WA MAJUKUMU.
Kumlipia demu wako ada ya...
Wadau Mimi ni Mtumoiaji Mpya wa jamiiForum Ningependa kupata maelekezo ya Jinsi ya Kuitumia toka kwenu Kama una Chochote Ukijuwacho Naomba unijulishe na Mimi Pia.!!
Jamani vijana wengi wanavuta bange balaa.
Kwani usipovuta hukui? Halafu baadae wanajifanya eti ni kharam,sijui huwa wanaacha?
Serikali iko wapi maana vijiwe vinajulikana.
Tunao kunywa hizo pombe nimegundua akili zetu ni kubwa na uwezo wetu wakuchanganua mambo ni mkubwa na tukimshahuri mtu tunampa ushahuri makinikia tofauti na wale wanao kunywa bia zinazoitwa lite..
Katika makosa ambayo siwezi kufanya ni kupanga bajeti ya bia na vilevi vingine kwa sababu bia inapunguza mawazo inaongeza furaha inaongeza hamu ya kula chakula na papuchi tutafute hela tunywe bia...
Mzuqa!
Nilisimuliwa kipindi flani cha nyuma na jamaa yangu flani mbongo flani kwa kujipendekeza na kiherehere akavamia msiba wa wazungu eti kwenda kufariji na ni yeye tu pekee yake nigger...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.