JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hi guys, me naukumbuka huu, "hesabu ni nzuri sana weeee mwalimu nifundishe siwezi kusahau ee mwalimu ee mwalimu nifundishe" mwingine "a e i o u hizi ni herufi kuu, tamka kwa sauti kuu, hizi a e...
7 Reactions
147 Replies
22K Views
Wiki ijayo nimepanga kwenda mkoa flani wenye baridi naenda kwa shughuli zangu binafsi but kuna single mom mmoja nilimpata huko mwezi wa kwanza sasa nimemwambia nakuja next week kaanza kuagiza bidhaa
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wadau hivi sisi watumiaji wa huawei tunatakiwa tutupe simu ? Baada google kutowapa huduma ?
0 Reactions
6 Replies
973 Views
Nilisikia Kuna tajiri fulani alikuwa mzungu Akawa amekodi nyumba anaishi peke yake na katika moja ya chumba alifuga lijoka kubwa ambalo kila baada ya siku kadhaa lilikuwa linahitaji nyama.sasa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tu fanye kushare picha za nyau wetu wale tunaofuga nyau majumbani
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu, Jioni njema. Ndauli? Wamisha khinehe, mwadila, mapembelo,aslam aleykum etc. I hooe wote tuko poa, Kama kuna mkuu yeyote as we speaking he/she is currently here at the calabash kama yuko...
2 Reactions
82 Replies
7K Views
Mfano baba anakuuliza eti hivi kwa nini nilikuzaa?hapo unajibuje sasa. Au dem anakuuliza hivi nilikupendea nini??au mtu anakuuliza eti wewe ni me au ke?ili iweje sasa. Ongezea swali lolote...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Nilikuwa nauliza vipi ile party ya wana Jf mwaka Jana vipi ilifanyika.. Maana kitambo sijaingia humu ndani istoshe nilikuwa naskia tu tetesi oooh sijui mshana alijigeuza nyaya za spika akaingia...
0 Reactions
2 Replies
485 Views
Nawatakia weekend njemaaa hasa wale watumishi
1 Reactions
1 Replies
841 Views
Jana Nilikuwa University Moja hapa Nchini, Nilikuwa darasa moja nikifundisha Software Moja hivi (Master Series).. Kama kawaida ilikuwa lecture ya masaa mawili tu.. Kwa kuwa nilikuwa na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani, mwenye contacts za Dr. Elias J. Muganyizi naomba anipatie, mara ya mwisho nilionana naye kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliopita Jimboni Karagwe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kusema ile kweli kwa sasa hali imekuwa tete mi mpiga dili juzi tu nimetoka kuchukua kitambulisho cha ujasiriamali ingawa hali ni tete, Zamani nilikuwa nauza chipsi mpaka nakimbia wateja ila...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wafanya biashara wanajitahidi sana ili kumaliza mifuko ya plastic kabla ya tarehe moja... Nimeenda dukani kununua vocha ya jero nikawekewa kwenye mfuko..[emoji1787][emoji1787]
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Mnakumbuka makanyagio vizuri,maana ni sehemu ambayo watu wengi tulikuwa tunapata mahitaji yetu mengi,hasa vitumbua kwa wale waliokuwa wanatoka kwenye familia zilizo na uwezo. Ulanzi kwa sana siku...
6 Reactions
129 Replies
10K Views
NI CHAKULA GANI HUEZI KULA HATA UWE NJAA VIPI? MIMI NI *CHIPS😆😆.*
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Andika group lako la damu na uone lina match na group la member gani? Then angalia kama mnaendana kifikra Mimi Zero IQ nina group O+
5 Reactions
96 Replies
7K Views
me:
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo nimeamua kushea nanyi wanajukwaa ,hadithi fupi ya jamaa yangu Baba Peter na ningependa kwenye uzi huu atambulike kama Baba Peter.Kwa kifupi baba Peter ni mtu wa masanga/pombe/ulabu na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Leo nimeenda dukani kununua vocha ya jero.si muuzaji akaniwekea kwenye rambo la 200!!!😂😂.badae kidogo nikamtuma dogo sukari robo,na yeye akafungashiwa kwenye vifuko vya Mia Mia vitatu.😂😂😂😂 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mko kidato cha nne, headmaster anawaambia St Nicholas imetioa full scholarship kwa mwanafunzi atakae pata alama za juu kuliko wote. Unafahamu kuwa Allan ni kipanga kuliko wewe. Allan akiwemo...
7 Reactions
7 Replies
930 Views
Back
Top Bottom