JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
[emoji16][emoji16][emoji16]
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana Haya nawasubiri
4 Reactions
147 Replies
10K Views
Njoon tuchat wakuu
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Hodi wote wakuu! Tafadhari Sana wiki ijayo nasafari kwenda shinyanga naomba kujua ni sehemu ngani nzuri na bar gani kuna watoto wazuri kwa shy? Nawasilisha
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Hello JF! Leo amezaliwa member mwenzetu, mwanadada Manengelo. Ni uungwana kutakiana heri kwenye nyakati muhimu za maisha yetu wanadamu. Mimi binafsi, nakufaham kama mtu mwenye heshima sana...
7 Reactions
330 Replies
18K Views
Hii situation ya Wanaume wa Mtwara kujikusanya sehemu Moja kisa wanaogopa Upepo tena upepo wenyewe unaitwa jina la mwanaume mwenzao hii ni aibu ya Karne, ingekuwa Dar wangeongea sana* *Wanaume wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukilala kwenye daladala tunakupima ukimwi ukiamka tunakupa majibu yako…
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika maisha haya ya mwanadamu hapa duniani tunapitia mambo mengi sana, hasa suala la afya ya binadamu. Hivi ulishawahi kuumwa kichwa(homa) na ukajikuta mtu unaemeza dawa kila siku lakini hupati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii situation ya Wanaume wa Mtwara kujikusanya sehemu Moja kisa wanaogopa Upepo tena upepo wenyewe unaitwa jina la mwanaume mwenzao hii ni aibu ya Karne, ingekuwa Dar wangeongea sana* *Wanaume wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa enzi zetu wahenga kungekuwa na amsha amsha tunapeana address tu za maeneo ya matukio na tunakutana kweli na Kula bata na Biriani. Lakini sasa hivi kimya, nyie vijana vipi? Mbona mmezubaa...
10 Reactions
86 Replies
4K Views
Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini? Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au...
7 Reactions
87 Replies
5K Views
Jua kali Sana hapa dar ndugu zangu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mpenzi wangu ni kikojozi, nifanyeje? Magodoro yote yameoza. Nimempiga marufuku asinywe maji au chai usiku. ila hali bado ile ile, tena asipokunya maji anakojoa asidi (acid), pampers anavaa ila...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwenye mahusiano bana kuna mengi hutokea hasa kwa wapendanao, ambao siku moja moja hutofautiana na kugombana sana hali inayopelekea mmoja kununa au wote kununa na kisha kufuta namba ya simu au...
2 Reactions
70 Replies
5K Views
Huyu bi dada aliolewa, mume wake akiwa safarini ilitokea baba mkwe amekuja na ujumbe wa kanisa mjini kwao. Yeye na mume wake wamejenga nje kidogo ya mji, hivyo Muda wa kumchukua mzee kumpeleka...
2 Reactions
7 Replies
857 Views
Mimi kwenye daladala nakumbuka siku hiyo nilitoka town Arusha naenda morombo kula nyama. Dah sijui ndoa ndani ya daladala itawezekana au laa[emoji23]
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom