Asalaaam.
Wanawake na wanaume wanaotaka kujibu.[wanaowaelewa]
Najua mnashughuli nyingi mpo busy ila tunahitaji ufafanuzi hapa tafadhali kisha mtaendelea na majukumu.
Hivi mnaposema mnahitaji...
Kuanzia saa 5 asubuhi leo April 24, 2019 (kwa majira ya Afrika Mashariki), ndege John naweza kutoweka hewani kwa siku kadhaa
Nitakuwa nikionekana Mara chache mpaka siku saba zitakapotimia kwa...
Leo asubuhi majira ya SAA 4 asubuhi Rais wa marekani Amefanya ziara ya kushtukiza na kukamata magari 1000 ambayo yalitaka kutolewa bila kulipa kodi.
Amempa siku 2 mkuu wa bandari kuhakikisha...
Recently kumekua na kajitabia cha watu kuleta thread zenye hoja laini au vituko tu! Naamini pia bado kuna nyuzi ambazo ni Nondo bado zipo....
Basi kwa kutambua hilo,kwa sababu sio rahisi kuweza...
*Maisha baada ya kufumaniwa na kusamehewa ni magumu sana huwezi hata omba style mpya utasikia hii ndo uliyokuwa unafanya na huyo mpumbavu mwenzako*[emoji12]🤪🤣🤣🤣
Habari Zenu Wakuu Leo ni Siku yangu ya Kuzaliwa Namshukuru Sana Mungu Kunipa Uzima Mpaka Leo Toka Nimejiunga Humu nina Miaka 8 Nilichopendea Humu Kila Mtu ni Mkuu Awe Wa Kike Au Wa Kiume Pia Watu...
Kuna zawadi zinatoka za vocha kwa atakayepatia majibu ya maswali yangu.serious nakutumia zawadi PM ukipatia jibu wa kwanza.zawadi natoa Leo na kesho kwa hiyo usicheze mbali na ukurasa wangu wa...
EE MORA TUNUSURU NA MPIKA BIRIANI
Malenga najikongoja, hadi juu ya jukwaa,
Nina ujumbe mmoja, ufike kwenye mitaa,
Ni ujumbe wenye haja, mantiki yameujaa
Ewe mola tunusuru, na mpika biriani...
Mambo vipi vijana wenzangu,
Nachukuwa fursa hii kuwakaribisha katika Uzi huu pendwa tujuane na tujuzane mambo mbalimbali..
* Uliijuaje JF ukiwa na umri
mdogo kama huu maana
member wengi wa...
Waswahili tunaamini kuwa mvua ni Baraka hasa ikinyesha taratibutaratibu kama hii ya Leo Dar.Daah! Nimenyeshewa tangu nilipotoka tu mlango wa Kanisa Pale Kinondoni had Home.kama Kuna watu watatoka...
Poleni na majukum ya kitaifa watanzania kwa masikitiko makubwa wiki hii imekuwa ni wiki mbaya sana hili lipo wazi baada ya taarifa ya CAG kuwa tabled bungeni na Assad kuelezea mambo jinsi yalivo...
Habari wanajamvi?
Unalikumbuka hili pambio?
"Zilieatokeeni (pa pa pa[emoji122] ),zilizogawanyika (makofi tena) kama ndimi za moto,zilizojawa roro mtakatifuuuuuuuuuuu
Chorus
Zilitiririkaaaaaaa...
Woyoooooooooo
Ni sounds / namna au mbinu gani ulitumia kumnasa mpenzi wako wa sasa? Na ilichukua muda gani hadi aingie line?
Binafsi nilikutana nae akiwa katoka shopping, nikamsaidia mizigo na...
Happy easter wanabodi naona mashamlashamla kila kona hadi kwa wapenzi pia. Kwa wale wenye bebz zao leo wanatusumbua sana sio kwa daladala, sokoni ni kero tupu simu znapigwa jaman.
Kwa wale ambao...
Wakuu haya maisha bila kushikwa mkono na mtu akuchomeke kwenye system fulani ya mzunguko wa hela kwa kweli inakuwa ngumu Sana kuzikamata.ukisema ukomae Sana kivyako vyako utapata taabu sana...
Sikukuu njema mdau wa jf.
Ni watu wachache sana miongoni mwetu tunaoweza kuishi tukiwa pekee pamoja na kuwa ni watu tunaopenda kukaa peke yatu na kupenda hali hiyo.
Kiukweli tuliumbwa kwa ajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.