Huu ni uzi wa sisi wana jf kuunda team yetu ya soka humu na pia tujue Wewe unapenda team ipi na nafasi unayochezaga uwanjani, bila kusshau update za kila siku tukienda viwanjani kusakata...
Pamoja na tabu zooote anazopitia huku duniani akifa bado hapumziki, anatakiwa tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya ukoo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna zawadi zinatoka za vocha kwa atakayepatia majibu ya maswali yangu.serious nakutumia zawadi PM ukipatia jibu wa kwanza.zawadi natoa Leo na kesho kwa hiyo usicheze mbali na ukurasa wangu wa...
Mambo ni mengi mudaa mchachee chiiiiii.
Sasa ni mwendo wa codee
Hehheje[emoji23][emoji23]Ila nyie wanajf Mna vichwa vizito si yule mwana kuyataka mwana kuyapata yulee[emoji23][emoji23]
Yule...
Hakuna mtu ambaye hajawahi kuwa mgeni na kama bado lazima siku moja utakuwa ugenini, kuna vijitabia ambavyo vinaweza kuwa kero kwa wenyeji wako bila ya wewe kujua.
Binafsi sipendi mgeni...
Habari wana JF! Naomba kuuliza ndugu zangu wala Mbuzi katoliki hivi na wale ambayo kula nyama mpaka sikukuu watajifanya hawali nyama au vyuma vimekaza toka kitambo?
Kwakweli hali imebadilika sana sijui tunaenda wapi. Juzi nilikuwa nimeekeana miadi na dem mmoja hivi mzuri sana kwa sura na umbo. Tulikubaliana tukutane gesti moja mitaa ya savei basi alikuja...
Dah! Wadada wa dar na nyie mmezidi sasa kama unauza misosi si utuwekee picha/video za misosi tuione, wewe unauza misosi lkn unatangaza makalio, hivi ulisomea wapi kozi yako ya...
, SUMBAWANGA WIZARD TRAINING COLLEGE, P.O.BOX 27, RUKWA.
02/02/2019
Ni chuo bora kwa mwaka 2019 kina mazingira mazuri ya kujifunzia, kuna vifaa vingi vya kumwezesha mwanafunzi ajifunze kwa...
Ndege mwenye maajabu kushinda ndege wote ulimwenguni, nyumba yake anayolala...kaijenga kati kati ya shina la mti, mfano mti wa mbuyu katoboa pango, mule na ukibahatika kuona nyumba yake, anayolala...
Je unajua kutumia/kudownload whatsap 2 kwenye Iphone yako
Iko hivi
Instagram 2+
Facebook 2+
Whatsapp 2+
Gmail 2+
Je unajua kuchange front kwenye iphone/Ios
Yako
Without jeilbreak
Tuonane sasa
Wakuu samahanini kwa kuwasumbua akili.kifupi nataka kujua watu wangu ambao tunaenda nao sawa humu ndani na wale ambao hawanifagilii
Kama una yakubali madini yangu sio miyeyusho andika "1"
Kama...
Mimi nafikiri Kama Ni tuzo imeletwa wanagombea watu wawili mshana Jr na Paschal mayala me naona itakuwa ngumu Sana kujua mshindi Nani maana wote Wana jua secret knowledge kwa kiwango...
Uzi wa mazero huu humu ni kupost vitu ambavyo havina msingi vile vitu vya ovyo ovyo.
Note.
Usiingie humu na kujua labda utapata kitu cha maana humu ni kwa mazero tu
Cc Zero IQ
Hivi kwanini modes mnapenda kunyanyasa watu.Nimeangaika kutuma maombi ya kupata leseni ya kuingia jlw kwa tabu.Nimeendika barua kama naomba kazi,chaajabu nimefika huko sijatimiza hata mwaka...
Jf banah .. ..ukiwa mwanaume ambae ni gender sensitive and tender to family unaonekana sio kabisaaahh. Mfano Kuna jamaa ana Uzi wake kuwa yeye umkabizi Mrs wake mshahara wake wote na maisha...
Jamani tukaribishane kupitia huu uzi. maana pasaka inakaribia.
Uchoyo sio mzuri mie nikikaribishwa sili sana. nakula masinia mawili ya ubweche plus udambwiudambwi mwingine (msiogope hicho ni...
[emoji305][emoji305]UJUMBE WA LEO[emoji305][emoji305] .
[emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771]
Ajali kumi mbaya
.
. Hizi ndio ajali mbaya kuliko zote hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.