JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nawatakia juma pili njema. Wakristo wenzangu Bwana Yesu asifiwe.. Naomba kwa yeyote anaejua maana ya neno "Isale" kwa kirefu na hutumika vipi?, atuambie. Natanguliza Shukrani, Asanteni. Sent...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sisi wanawake wa humu Jf, tunajua fika kwamba wanaume wa humu.... Wote wana pesa, Wote wana magari, Wote wana elimu kuanzia degree, Wote wamejenga, Wote wanajua kuvaa, Wote wazuri.... Ila sasa mie...
44 Reactions
952 Replies
47K Views
Kuna kamsemo kanasema kujamba ni kupumua, Je ulishawahi kujamba au kujambiwa kwenye daladala? Vipi ilikuaje. Note Wenye private car na watoto wa kishua ambao hamjawai kupanda dala dala huu uzi...
0 Reactions
13 Replies
994 Views
Kuvaa miwani tunajua kuwa huenda una matatizo serious ya macho na sio urembo kwa baadhi ya watu wangine wafanyavyo Lakini kuna kajitabia kanakofanywa na wavaa miwani kwa kweli kanakera sana...
8 Reactions
37 Replies
5K Views
3 Reactions
9 Replies
892 Views
kama kichwa kinavojieleza apo juu mim ni muhehe sifa yetu tunaambiwaga tuna kula madogi ila mimi sijawah kula aiseee. sifa ya pili ni kwamba hatunaga shida pindi tunapokuwa tunashida tunajifanyaga...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi hapa kwetu itakuja kutokea hili likawezekana pia?...huko nasoma wanageuza magereza kuwa makazi... https://www.weforum.org/agenda/2018/02/netherlands-prisons-now-homes-for-refugees/ Sent...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanazengo Leo najisikia tu kuchat na nyie humu , niulizeni maswali yote Ila mambo ya jinsia niachieni mwenyewe, nambie tu kipi unakipenda kutoka kwangu? Na thread gan ambayo uliipenda kutoka...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Hawa mama zangu Wana maajabu Sana kila siku wananishangaza jinsi wanavyonogesha jukwaa nawapenda toka niwajue hawajaniangusha labda kidogo Lara ndo kafulia sema sio kesi karucee Bado mpya na wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nataka dem Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
771 Views
Huyu Magufuli kakaa miaka kibao Dar na haitwi Mwanaume wa Dar..... Wasira kakaa miaka kibao Dar haitwi Mwanaume wa Dar.. Mwanaume anapewa hati ya ukaazi baada ya muda gani wa kukaa Dar?
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwema wakuu Napenda kunywa bia Ila sasa zinanipa tabu baada ya kunywa kuna harufu inabaki mdomoni na kila nikiongea na mtu ananiuliza vipi Leo umekunywa pombe.. Nikaamia kwenye nyagi nako ni...
4 Reactions
143 Replies
17K Views
Habari zenu wadau wa JF, siku zote nimekua najiuliza Sana hili suala la imani za ushirikina/ uchawi. Kiukweli nabaki njia panda pale ninaposikia wachawi wanauwezo wa kuingia ndani ya nyumba...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimenunua frig jipya lkn wakat wa kulishusha kuliingiza ndan jiran yangu alikuwa hayupo hebu niambieni nifanye nini ili ajue km nna frig ndan [emoji855][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] Sent...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mara ya Mwisho kunywa pombe ilikuwa mwaka 2015. Jana Nlialikwa ktk kasherehe fulani hivi hapa Rocky City au Wenyewe hupaita Mwanza Mwanza au kwa kina Ngosha, Story za hapa na pale mara meza...
8 Reactions
150 Replies
7K Views
Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.
33 Reactions
43 Replies
2K Views
Moja ya dhima kuu alizofanikiwa kuzionyesha katika jamii ya watanzania ni 1. Nafasi ya mwanaume katika jamii: Kukosa msimamo Usaliti na uongo 2: 3: 4: 5: Malizia zangu ni hizo sijui ww ni zipi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
katoto kazuri nimekuja Pm yako na kumwaga yale yangu ya moyoni lakini bado mtoto unashindwa kunielewa, Zero IQ mimi muuza Kiepe nimekupenda kwa kweli, na sijui ata kwa nini ila imetokea tu...
1 Reactions
149 Replies
8K Views
Back
Top Bottom