JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Thank you GOD for giving me another year of life. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Leo nimeingia Jijini Dasalam, I'm interested kuwaona hawa Wanaoitwa "Wanaume wa Dar ".Ninataka kufanya Utafiti kujua Ukweli wa tuhuma wanazopewa km vile Uoga, Performance ndogo kwenye ule...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Kama umenunua godoro hv karibuni, au unajua tuu bei.. naomba msaada, please sema bei na brand ya godoro..
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Story iko hivi. Nimewahi kuwa na mahusiano na dada mmoja hivi sasa huyo dada alikua na tatizo moja yeye hajuagi neno msamaha yani kutamka hilo neno ni kwa mbinde sana. Alikua na tabia ya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
IF THE SUN COULD ROTATE 30 DAYS FASTER, WE COULD GET OUR SALARIES DAILY. THE WOMEN COULD BLEED TILL THEY DIE
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Shukrani za kwanza zimuendee Nyani Ngabu The Don! kwa kuitikia wito wa mahojiano haya ambayo yatakuwa yanahusisha vitu vingi sana ikiwemo MAPENZI &MAHUSIANO, MARAFIKI, UTAJIRI&MALI, FURAHA...
15 Reactions
428 Replies
41K Views
ninahutaji kijana wa kuniuzia cookies stand ya mabasi ya MUHEZA TANGA, cookies pakiti 1 nauza sh.1000 atakuwa anawatembezea wasafir!!! mshahara maelewano ila tu auze pakti zisizopungua 16 kwa...
2 Reactions
1 Replies
503 Views
Leo ni siku maalum kwangu, ni siku ya kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru sana Mungu kunijaalia pumzi kuiona siku hii adhimu. Naomba uendelee kunijaalia afya, hekima na busara...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Kwa uchache tuu hawa ni watu ambao wako peace, wasio na majivuno, waelewa,wasio shida na mtu.. Mshana jr -huyu mtu yuko peace na kila mtu. Yeye hata ajibiwe shit bado atajibu vizuri. Anakujibu...
4 Reactions
60 Replies
4K Views
Leo kuna binti wa jirani yangu kauliza swali fikirishi, mimi na dada yake tumemjibu juujuu ila baada ya kufikiria nikasema huwenda sivyo ilivyo. Ilikuwa hivi: Mimi: (Baaada ya kumuona kwenye...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Ukiachana na kupekua simu ya mpenzi wako Ni jambo gani linaweza pia kupunguza unene haraka? 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mgeni hapa mtaani.Jana nikiwa nimekaa napiga story na mangi,mara ghafla akaja demu mmoja mzuri kweli kweli.Umbo namba nane,miguu ya bia, kisura cha kitoto kilichopambwa na vishimo...
5 Reactions
27 Replies
6K Views
In a nursery school a little gal asked da teacher, gal: can my mum get pregnant? Teacher: how old is ur mum? Girl: forty Teacher: oh yes she can get pregnant. Gal: so wat of me? Teacher: how...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nipo hospitali nimetoka reception kuregister nikaambiwa nenda kwa DOCTOR, sasa niingie wapi kati ya hizi sehemu mbili? Nitashukuru kwa msaada wenu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Baada ya kuja na ile list ya watu peace humu ndani japo walikuwa wachache. Sasa hii ni list ya wana jf namna wanavyovaa na mitindo wanayoipenda.. Magonjwa mtambuka -huyu ni mtu wa age kama 40...
8 Reactions
67 Replies
8K Views
Najua tulio wengi tunakutana na vituko, kero na changamoto nyingi kwenye hizi klabu za usiku Kuna visanga sio vya nchi hii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wale Mangosha...
7 Reactions
88 Replies
10K Views
Habari ya jioni wana jamvi, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, tatizo kuna mabroo wangu toka niko primary nilikua nawasalim shkamoo lakin sasa nikiwasalim wanajibu tu mamb vip dogo, hata...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Nataka kuanza kunywa pombe. Ila sijui ninywe bia gani? Hebu nishaurini wadau.
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Na comeback yote hiyo tumekubali kubaki nyuma kwa goli 5 kwa 4 , ila tunaweza naimani tutasonga mbele Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
901 Views
Nimehamishiwa wilaya ya Makete kikazi, Anayejua maisha ya hiyo wilaya na changamoto zake ,naomba maarifa ya kutosha
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom