"Mwanaume asiye na mchepuko ni sawa na taifa lisilokuwa na chama cha upinzani ......```
Na mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na taifa kuwa na kikundi cha waasi kinachoendesha vita ya wenyewe kwa...
Ni Jambo kubwa Sana imagine great thinker wame appreciate Mara 10000 kile ulichosema na sijawahi kwenda kwenye ule Uzi wa kupeana likes.ni jitihada binafsi ndo nawaza hapa nisherehekeaje hili...
Nilikua namtafuta huyu dada Demiss. Katika pitapita zangu ndio nikaona kala umeme.
Sijui amefanya nini dah, mods sometimes wanakula kichwa haraka sana.
Sent using my Nokia Torch
Wengi wanaogopa kufa wakidhani Kuna maumivu dakika za mwisho ambazo pumzi inaelekea ku shutdown lakini Ni hofu tu Wala hakuna maumivu.ukimuona mtu analia Sana na kuteseka akiwa katika process ya...
Tigo waonesha hofu ya wazi baada ya mmoja wa wateja wao kuwatishia kuwa anaenda kuwashitaki kwa askofu huyo.kweli hii dunia tafuta power tu utaishi kama unavyopenda wewe.
¤Ni Mchumba wa kajala
¤Anunua Mtaa
Na mwandishi wetu.
Mtanzania mwenye utajiri wa ajabu rooney amefanya kufuru baada ya kununua mtaa mzima mwananyamala kwa kopa na pia kuvunja kituo kidogo cha...
Nimezaliwa singida mjini nimesoma shule ya msingi Mughanga hapo hapo Singida Mjini.
Secondary nikasoma hapo hapo Singida Mjini shule za Kata alizotuchangia Sana Mbunge Dewji. High level nikasoma...
Kuna siku nilichacha siwezi kuisahau maishani.
Nilibakiwa na 10,000/- mfukoni. Sasa nilikuwa najisikia vibaya nikaenda kupima malaria nikawa ninayo.
Nikawa njia panda, ninunue dawa au chakula...
```1. Usimpigie mtu kwa zaidi ya mara mbili mfululizo. Ukishaona simu yako haipokelewi basi elewa kuna sababu ya msingi acha subiri akupigie pindi atakapoona ulimtafuta.
2. Rejesha pesa ulizokopa...
Daahhh si nimetuma picha ya manzi yupo uchi kwenye grupu la directors.
Kwa haraka niwahi kufuta nikajikuta ni delete for me badala delete for everyone.
Imebid ni left grupu tuuu
Sent using Jamii...
Habari zilizopatikana Dodoma ni Kuwa Rais Bashir wa Sudan katuma ujumbe kuwa anajuta kupuuza ushauri wa kumuagiza na kumuajiri Kamanda wa Polisi Dodoma mzee wa "Watapigwa wachakae" ambaye...
Ebwana kipind nipo mdogo nlikuwa nataniwa *NYITWE* kutokana na kichwa changu kilivokuw kikubwa (nyitwe kwa kisukuma ni kichwa kikubwa) sasa tani hili nlikuw nkitaniwa nalia sana ama nazila kula...
SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA.
1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu.
- SUA.
2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi.
- MUHIMBILI.
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.