Dah kweli watu hawataki ujinga Kumbe ndo maana naona kimya Sana humu mjengoni Kumbe Kuna watu hawataki kabisa kutusikia wanaona tunawarusha na kuwakata steam.sasa wapeni taarifa sisi haturudi...
Maeneo yatakayoathirika ni nchi nzima ila hasa hasa itakuwa ni Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Mara, Mbeya, Iringa, Morogoro na Dar es Salaam na Kitaanza tarehe 25 Asubuhi na Kumalizika Siku hiyo...
.'Kila Akifika Kileleni Ananing'ata Shingoni'
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye...
Katika utafiti wangu mzito nilio ufanya mda mrefu..Nimegundua Bar zinaleta furaha kubwa katika maisha yetu ya kila siku..Ukiwa na uzuni ukifika tu bar furaha inarudi..Ukiwa na hasira ukifika tu...
Tushasikia siku ya kwanza kupanda gari,kupanda ndege,kufnya mapenz n.k watu wakatoa hisia zao ikiwemo na viroja walivyokutana navyo siku hyo
Je siku yako ya kwanza ku cheat katika mahusiano ya...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na ardhi, baba wa ulimwengu huu kwa kunipa nafasi ya kutimiza miaka kadhaa pia kunijaalia afya njema mpaka hapa nilipofikia .....namuomba mungu...
Dah inauma Sana eti marekani yenye watu million 350 na yenye wasanii wengi hatusikii hata wakifa.wakina lil Wayne,sijui 50 cent,Jay z majina makubwa toka tumezaliwa tunawasikia TU halafu unaweza...
Jamaa na mkewe huwa wanalala kwenye kitanda cha kamba, watoto wanalala chini, siku moja jamaa akataka tendo la ndoa, mama akasema watoto hawajalala , jamaa akabisha ikabidi mama ampe alipoingiza...
Dear Khantwe, Happy Birthday!
After all, it’s not every day you celebrate your birthday, is it? Look, you may even try to avoid these birthday wishes, by saying it’s not a merit and that time...
Wakuu! [emoji1538]
Huko kwenu wananzengo wanasemaje na hiki kimbunga?, vipi kuhusu Biriani!?
Ila Mtwara wanakata sana mauno japo inategemea Ntu na Ntu
Poleni wanamtwara kwa kutubebea hili la...
Hapa kwetu uswahilini, tumeamka na tifu la kufa kuku na vifaranga wake.
Mtoto wa kiume ambae tulihisi tangu mwanzo ya kuwa ni kachumbari ya makafiri, anashikana nguo na mama yake mzazi kisa...
Wakuu! [emoji1538]
Huko kwenu wananzengo wanasemaje na hiki kimbunga?, vipi kuhusu Biriani!?
Ila Mtwara wanakata sana mauno japo inategemea Ntu na Ntu
Poleni wanamtwara kwa kutubebea hili la...
Wasalaam Ndugu wanaJF
Mwaka 1517 Padre machachari wa kanisa katoliki Martin Luther aliamua kujitenga rasmi na kanisa Katoliki, Claim ya Luther ilikuwa kanisa kwenda kinyume na maandiko, pia...
Kuna nyumba ya kupanga nilienda kukaa siku mbili kwa mshkaji wangu, nilipata wakati mgumu sana kutumia choo mchana kwa sababu pembeni ya choo paligeuzwa kuwa kibaraza cha kupigia stori kwa wadada...
Dunia imekuwa juu chini sasa
Kuweni makini sana na vijana wenu, watoto wenu , kaka zenu.
Ukiona nyendo usizoizelewa fanya kitu.
Check na aina ya marafiki anaotoka nao
Mbeya mjiandae wakalimani wa kutosha maana kidhungu kimeshakolea huko marawee!!
Hansad haikupatikana mara moja ili mpate ka audio.
Atakayekapata atupiemo!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.