Hii clip ya video inazidi kudhihirisha wazi kabisa Watanzania wengi hawana elimu kama tu mtu anaulizwa swali linalomzunguka kwenye mazingira yake lakini anachojibu ni vitu viwili tofauti...
Wanaume wa Dar vs Wanaume wa Mikoani
Messi Vs Cristiano Ronaldo
Diamond Platnumz vs Ali Kiba
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hizi battle hazijawahi pata mshindi
Sent using Jamii...
A man never leaves his cellphone behind, even when he dies[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Section 23 of the Cellphone Relation Act in the Men's conference proceedings.
Sent using Jamii...
Hatimaye nimeongeza moja nyingine...ashukuriwe Mungu baba juu mbingyni kwa wema wake kwangu mpaka sasa!
Na shukrani zangu nyingi kwenu marafiki na Jamii forum kwa ujumla.sina mengi ya kusema ila...
Kuna simulizi nyingi sana kuhusiana na mila zetu za Kiafrika na vijimambo vyake, hususana mambo ya kishirikina au uchawi. Kama utataka kuandika mada ya Uchawi au ushirikina hasa kwa sisi Waafrika...
Nimetoka kutuma maombi ya kazi, private sector.
Katika hospital ya kanisa la KKKT.
Niongezeeni baraka zenu nipate kazi wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tza kumekuwa na katabia kaajabu sana taaluma zipo nyingi sana tena muhimu zaidi ya sheria but hii taaluma wanajisikia sana !
Wanajisikia kuanzia
wanavyovaa,
wanavyoongea
Wanavyotembea na mbaya...
Wanajamvi Kamwene,
Yaani nimesikitika kifo cha Ruge sana
sasa kama nawaona wahaya kwa sifa zao huko msibani
Picha linaanza na tangazo la msiba pale radio one utasikia matangazo ya vifo familia...
Mtemi wa nchi moja alihalalisha biashara ya madanguro nchini kwake, alitoa hoja kuwa wenye madanguro wanalipa kodi navwanainua uchumi wa nchi. Viongozi wa dini walimsihi sana kuwa madanguro...
Kila mwezi huwa nachagua watu sitini wakali wangu ambao nitakuwa nasoma michango Yao na thread zao zote walizoanzisha ili niweze kujiongezea maarifa.wafuatao Ni ambao nimewasoma kwa mwezi wa...
Kwa kwelii huu ni umbea 100%, huyu Prof. Juma Kapuya aliyefunga ndoa (habari iko Muungwana blog) ndiye yule aliyekuwa waziri enzi zileee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa simuelewe kabisa demu huyu ,yaani tukiwa class ikiwa nimechelewa yaani ile naingiza tu kichwa akiniona lazima aanze kucheka....
Hivi huwa anamaana gani!!!
Sent using Jamii Forums mobile app