Baby wangu mie, najua how busy you are and you insisted not to be too much in this social networking.
I know how happy you are this special day and for sure it is for God's grace. Many more have...
Mtukufu sisi wanyonge tuko kwenye tanuri. Tunaiva juu na chini, mtaani hela hakuna, mazao na biashara havinunuliwi lakini tunatakiwa kununua kitambulisho cha mmachinga shilingi 20,000.
Mtukufu...
Siku chache zilizopita nilikuwa mji fulani hapa Tanzania, hivyo kutokana na mihangaiko yangu kuwa mirefu kidgo nikaamua kuchukuwa room guest nikae siku mbili tatu huku nikimilisha Michakato...
Habari wanajamvi?
Mambo yasiwe mengi niingie kwenye mada, mke wangu anatatizo la upungufu wa nguvu za kike (yaani ni flat screen) naomba msaada ni dawa gani atumie ili kuongeza nguvu za kike...
Unajua bwana kila kitu kina raha na karaha zake. Sasa kupanga na kuishi ndani ya chumba kimoja, kuna raha na karaha zake pia.
Kwa ufupi karaha zake ni kama pale itokeapo ukapata ugeni jinsia...
Poleni wana jamii forum na majukum ya kitaifa.Leo ninafuraha sana mke wangu kipenzi kajifungua.Wakati ananipa taarifa kajifungua nilishituka sana maana nilikuwa na shauku sana ya kujua ni mtoto...
JAMANI NAMTAFUTA HUYU DADA MKAZI WA MBAGALA KUU(alikuwa)...KABILA NI MZIGUA(kama sikosei)...
Ana umbo hivi pana..labda apungue sasa hivi...
Mfupi...kama yupo na kuna mtu anamjua...naomba...
BREAKING NEWZ:
ALI KIBA kortini baada ya kusema uongo hadharani!
Mamlaka ya mapata tanzania PCCB imesema magari yote yanayoingizwa nchini yakalipie ushuru mara moja katika ofisi ya EWURA...
FACTS CHACHE KUHUSU MAISHA.
By Malisa GJ,
1. Watu wengi wanaojitapa kuwa wana fedha nyingi, ukweli ni kwamba hawana fedha. Wenye fedha huwa hawajitapi. Huwezi kumuona Bill Gates akijiita ‘don’...
Hii ni Special thread kwa tunaotoka familia kubwa kubwa zenye umashuhuri hapa nchini.watoto wa wabunge,mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa taasisi kubwa na watoto wa matajiri wakubwa hapa dar...
toka nikiwa mdogo kuna vitu nasikiaga na labda vimeingia kichwani mwangu,ila naomba kuwauliza kama ni kweli inatokea,,,,mfano ni ile ya kupiga chafya unaambiwa kuna mtu atakuwa anakuongelea,ama...
Tulisha zoea kumuona mtukufu rais akiwa anazindua miradi na viwanda live kwenye TV, sikuhizi hatuyaoni haya. Hii inamaanisha awamu ya tano tumemaliza uzinduaji.
Inawezekana tunawasubiri Arab...
Hii kitu Ni ukweli Si masihara.nikiambiawa nichague kimoja Cha kubaki nacho Kati ya jf au mpenzi Basi Mimi nitachagua JF.kwa sababu inanipa vitu ambavyo mwanamke hawezi kunipa.inanifanya nitambe...
Sehemu ambayo inatumika kutofautissha mtu na mtu duniani ni alama za kidole gumba, wote tunakubaliana....
Sasa kwa mfano siku moja tunaamka asubuhi... (Narudia tena kwa mfano) binadamu woote...
Nimeandaa ziara kubwa ya kihistoria kwa kumtembelea kila mwana jf nyumbani kwake/kwao.hivyo Kama utapenda nikutembelee mahali ulipo,iwe Ni sehemu yako ya kazi au nyumbani wasiliana nami kupitia PM...