Wajomba/shangazi zangu wa Jf kwanza nianze kwa kuwaeleza Hali halisi ya kiuchumi nayopitia.mimi kiukweli bado tegemezi kwa zaidi ya asilimia 60.namaanisha kipato changu nasaidiwa na wadau wengine...
Leo ni siku ya 11 toka mwaka huu uanze nina imani wapo ambao hawajazini kabisa mwaka huu, nini kinakukwamisha? Unakwama wapi mzee baba na kwa wadada ambao bado hamjatafunwa mwaka huu shida nini...
Walikuwa wanatudanganya sana na maneno yao ambayo walikuwa wakituaminisha ambayo akiyafikilia sasa unaona kabisa hayana maana.
Mfano
-ukimruka mwezio anakuwa mfupi
-ukiwa unakula chakula...
Swanglish ni Kiswahili na Kingereza vinapooanishwa vikipenda visipende.
Si ajabu kukumbana na maandiko au maongezi ambayo wengi wetu hujikuta tunaoanisha Kiswahili na Kingereza bila kudhamiria...
Wadau Naomba nitoe yangu Machache.
Kwanza niwashukuru wote wadau wa JF na Uongozi mzima wa JF kwa kazi kubwa mnayoifanya hapa katika kuiendeleza Jamii Forum The Great Thinker si jambo rahisi kwani...
Heri ya mfano wa siku ya kuzaliwa to me Valentine body waOLDmoshi.
Since 1997 mpaka sasa
Asante Mungu kwa afya na baraka tele unazo nijalia kila siku.
Happy Valentine day wana JF
Happy birthday...
Habari za asubuhi..
Ukiona mwandishi amemuweka muhusika mkuu kwenye riwaya yake na ametiririka kwa aina hii...
" nikiwa ndani ya gari yangu toleo jipya kabisa aina ya Nissan navara toleo la 2019...
Bangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi...
Habari wana jamvi.
Leo nimeanza kutimiza ile adhima yangu ya kuhakikisha heshima haipotei nyumbani kwangu. Nimeanza kwa mazoezi ya kukimbia, nimepiga push up 3, sit up 4 na mzaozi mengine ya...
Teacher: Why are you so late?
Student: There was someone who lost a hundred dollar bill!
Teacher: Oh, that is nice. Were you helping him to find it?
Student: No, I was standing on it ..
Ndugu zangu habari zenu??. Nahitaji kufahamu kuhusu Hii ishu ya MAFUTA ya kupikia. Maana imekuwa mtihani Sana. Wenzang munanunua Tsh. Ngapi kwa dumu na ltre???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kawaida Binadamu ana Mambo Mengi sana ndani yake, kiasi kwamba hadi sasa tunavyovijua ni vichache mno kuliko tusivyovijua.
Leo Nitawaleteeni Funzo fulani kuhusu saa za mwisho mtu anakaribia...
Yaani unatafuta kitu muda mrefu mpk unatamani kulia..
Unakuta hicho kitu kwa muda huo ndo cha umuhimu alafu ukioni
Kuna muda unatafuta weee kumbe unacho mkononi umekishka au mfukoni n.k
Me...
Hallow
Husika na kichwa cha habari hapo Juu _
Kama vile ambavyo wote Tuna tambua kuwa hili Jukwaa ni la chit chat
Hivyo linatoa fursa kwa sisi kuweza kupiga story mbali mbali za kufarijiana "...
Sababu iliyonifanya nijiunge na kifurushi Cha hatukomi kutoka CHAPUTA ilikuwa Ni kupunguza shahawa ambazo niliamini kuwa ndizo zinasababisha nitokewe na chunusi usoni.na kwa kuwa sikuwa na access...
Juzi nimekuja na bandiko hapa la kuomba kupewa ushauri jinsi ya kuacha kuwagegeda mademu tofauti tofauti,
Kutokana na Nature ya kazi yangu kuuza kiepe inanifanya nikutane na hawa viumbe kila...