Which is more easier Tanzanian guys crossing border and marrying kenyan women ka Ali kiba na sai Diamond soon,or kenyan men crossing over and marrying Tanzanian girls,Want your view on this
Nawatakieni nyote heri ya sikukuu ya wapendanao. Kwa wale wakristo, nawatakieni funga njema na mwanzo mzuri wa kipindi cha kwaresma. Mungu ni mwema kila wakati!
Nilikuwa najitizama kwenye kioo...
Hatuoni tena picha za Jiwe akiwa St Peter’s Jumapili. Au ameamua kubaki na mungu wa mababu zetu? Maana Mungu wa Jacob na Elia anaona kila jambo litendwalo.
Yaani unatafuta kitu muda mrefu mpk unatamani kulia..
Unakuta hicho kitu kwa muda huo ndo cha umuhimu alafu ukioni
Kuna muda unatafuta weee kumbe unacho mkononi umekishka au mfukoni n.k
Me...
GET TO KNOW TANZANIAN MEN
1. MLUGULU:
Has one Wife
Has one Girlfriend
But loves his wife the most.
2. MCHAGA:
Has one Wife
Has one Girlfriend
But he loves his money the most.
3. MMASAI:
Has...
Yaani unatafuta kitu mpk unataka kulia unakuta kila unae muuliza eti ajui
Yaani kero tupu ukute kwa muda huo ndo kina umuhimu
Nilishatafuta Cheti cha form four nilkua nataka nikakitoe kopi kwa...
Yaani unatafuta kitu muda mrefu mpk unatamani kulia..
Unakuta hicho kitu kwa muda huo ndo cha umuhimu alafu ukioni
Kuna muda unatafuta weee kumbe unacho mkononi umekishka au mfukoni n.k
Me...
Yaani unatafuta kitu mpk unataka kulia unakuta kila unae muuliza eti ajui
Yaani kero tupu ukute kwa muda huo ndo kina umuhimu
Nilishatafuta Cheti cha form four nilkua nataka nikakitoe kopi kwa...
Yaani unatafuta kitu mpk unataka kulia unakuta kila unae muuliza eti ajui
Yaani kero tupu ukute kwa muda huo ndo kina umuhimu
Nilishatafuta Cheti cha form four nilkua nataka nikakitoe kopi kwa...
Yaani unatafuta kitu mpk unataka kulia unakuta kila unae muuliza eti ajui
Yaani kero tupu ukute kwa muda huo ndo kina umuhimu
Nilishatafuta Cheti cha form four nilkua nataka nikakitoe kopi kwa...
Demiss
Binti muwazi mwerevu. Toka nilipo kufahamu natumia muda mwingi kusoma comment zako. Ninapoona jina lako napata furaha. Leo usiku nimekesha nakuwaza. Saa kumi na mbili Alfajiri nikapitiwa...
GENTAMYCINE
Huyu jamaa huwa anaserereka na kutiririka vidonge/vichambo vilivyo tukuka kwa ufundi na ustadi wa hali ya juu kama ‘MOSSAD’ hali inayofanya kuwa salama dhidi ya ban!!
Haya na...
Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua...
Oi wadau nimeakia ili neno kwenye wimbo flani wa ney but sijajua maana yake halisi.naomba mwenye uelewa na hili neno aniambie.[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu kila mtu anajua kaenglish,akiandika sentensi mbili tatu utaona kimalkia,mnatupa tabu sisi tulioishia la nne
Kingine, kila mtu kajenga anamiliki ndinga kali, dadeki mi nawachora tu.
Ni hayo...
Najua kuwa wote tuko salama na kwa wale ambao wana matatizo ya kiafya MUNGU awajalie afya njema.
Binafsi nimekuwa nikisubili Noah niliyoahidiwa na mjomba wangu yule wa chato ila ni mwaka wa pili...
Ki msingi mi harakat za muziki zilianza Mara tu baada ya kupevuka 2008 nikawa nawaimbia washkaji magheton mwishoe nikapata ki nafasi studio moja kule mboka enzi hizo walikuepo kina hardlee mganda...
Kuna hii coment nimekutana nayo wakati napekua nyuzi za watu. Pia naitunuku kuwa koment bora wakati mwaka 2019 unaendelea
Huyu bright platnumz kauliza swali sikongefdc kamjibu
Uzi wenyewe ni huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.