JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hellow bosess! I hope mpo Poa mwaka ukiwa unaenda kukata sio mbaya tukashirikishana vitu vilivyo vipenda kwa mwaka 2018, kwa kua hatuwezi kujuzana vyote basi share nasi vitu ulivy vipenda kwa...
1 Reactions
4 Replies
771 Views
Wadau ninaomba msaada wenu, nina safari ya Iringa natarajia kutumia usafiri wa Bus, hivyo basi ninaomba ushauri wenu nipande Bus gani ambalo ni luxury (full ac, siti zisizobanana, charger USB...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Miaka kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo mama alinileta duniani. Namshukuru sana Mungu kwa kutimiza miaka kadhaa leo, Happy birthday to me!!
8 Reactions
64 Replies
10K Views
Mwaka ulivyoanza watu huwa wanajitahidi kubadili tabia ama kujaribu kufanya mambo mapya kwa mbwembwe za kila aina lakini kadri mda unavyoenda anajikuta kasharudi kwenye hali yake ya kawaida...
6 Reactions
135 Replies
7K Views
Naweza je kuza biashara yangu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
590 Views
Wanajf njia iiozungumziwa hapa ni njia tuijuayo ya ardhini au njia ya kipemba?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau nishaurini natamani kuoa mwaka huu kabla haujaisha sasa tatizo sina mchumba?
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wasalaam ndugu zangu, Heri ya mwaka mpya 2018. Binafsi nashukuru kudra za Mwenyezi Mungu kunifanya niuone huu mwaka mpya. Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kutaka tufahamiane zaidi, tukosoane na...
18 Reactions
156 Replies
11K Views
Awali ya yote mimi ni muoga wa vyombo vya usafiri (ndege, bus na pikipiki). Nilivyokua nikisoma zile habari za magari ya magazeti au malorry nilikua nashangaa mtu anapata emergency gani ya kupanda...
8 Reactions
118 Replies
5K Views
Kuna uwezekano wowote wa kupata kitambulisho cha kupigia kura iwapo ulipoteza cha kwako?
0 Reactions
2 Replies
987 Views
mimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia ivi wadau nikipata msichana...
9 Reactions
95 Replies
8K Views
Aghalabu imekuwa ni kawaida sana kwa watumiaji wa simu za kikononi kupokea ujumbe "HONGERA" sehemu isipostahili kwa mfano; 1, Ukijiunga kifurushi cha kupiga simu utapokea neno "Hongera umefanikiwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Binafs sijawahi agiza ugali hotelini coz Ni tudogo kama Cha mtoto Cha kushangaza Kuna mibaba inabakisha duh,daresalam imewaharibu Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
58 Replies
4K Views
amaa flani alikuwa amelala na mkewe. Mara akamuona mtu amesimama kitandani. Jamaa akafoka, "Toka hapa, we ni nani mpaka unakuja kitandani mwangu?" Yule mtu akajibu, "Mi ni malaika na hapa sio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa hili joto la dar linaweza kumyeyusha hata barafu wa moyo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
2 Reactions
79 Replies
12K Views
Ivi mahakama kwanini imemkatalia shangazi kutusemea wananchi mil 55. Shangazi anzisha kitu tutakuja utuamlie kesi zetu maana hawa wengine naona damu yao imeelekea kijani zaidi. Kutakua.na...
1 Reactions
0 Replies
899 Views
Salama wakuu.... Aisee yani leo ndo nimeamua kubrowse insta, nimekuwa na akaunti insta lakini siitumia mara kwa mara sasa leo nikaona ngoja niperuziperuzi kidogo! Ee bana eeh!! Yani kule...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku, Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Malcom Lumumba kama guest,uliza swali lolote unalotaka kujua kutoka kwake na taaluma...
9 Reactions
120 Replies
9K Views
Back
Top Bottom