Mie nakerwa sana na wanaume wanaojichuna ngozi. Unamkuta kawa mweupe ghafla na ngozi lainiiii.... Ngozi ya mwanaume iwe ngumu na natural bwana. Mwenzenu nawaonaga hawa kama sio rizki yani.
Sent...
Habari za Jpili wana Jukwaa
Nimerudi nyumbani after church nikawa nafanya mambo wawili matatu kwa ajili ya mchana huu.
Mara jirani akagonga mlango, nikafungua.
Tukasalimiana vizuri. Alikuwa na...
Tezi dume inasababishwa na nini?
Je inatibika?
Kama inatibika, je inatibika kwa dawa ya kupaka? Ni ipi hospitali inatibu na mwenye kumjua dr bingwa au mzoefu tafadhali.
Natanguliza shukran...
Za jioni wadau wa hapa.
Leo nimemsindikiza rafiki yangu kuja kujitambulisha kwa mara ya kwanza. Kwa lengo la kutaka kuoa. Hivyo kwa vile tulikuwa wachache na mimi huwa sipendi kuvua viatu mara...
Habari wana jukwaa,
Ni mara nyingi sana nimekuwa nikishuhudia watu wengi kukuta wameagiza bia za chupa ndogo...
Mwanzon nilikuwa nimejiuliza labda yaweza kuwa ni bei, lkn kwasasa unakuta bei za...
_When the baboons and monkeys heard that the man who used to chase them away from the maize field had died.....they hysterically celebrated...... The following year there was no maize.....that's...
Mpe ushauri mtu anaeanza mahusiano ya kimapenzi na Ex wako muda huu.
Nini afanye?
Tahadhari gani achukue
Kwa upande wangu namtahadharisha jamaa awe anaficha wallet yake mda wote.....
Bonge la story bonge la motivation and insiparation, walio isoma hii hadithi watakubaliana na mimi. Ni mtu aliyetoka maisha ya chini sana familia masikini sana, mambo ya vibarua vya kulima, kuuza...
Here and there in your everyday life , you might have come across the following life experiences.
1. Your appearance & looks matter a lot
2. At one point in marriage you'll be tired of your...
Wana jf wengine wameacha kutumia fb ila kiukweli Ni mtandao pekee ambao ni rahisi Sana kumpata rafiki wa zamani ambaye huna mawasiliano yake ya simu.mtu nilisoma naye 1999 huko na alikuwa Ni best...
Ili iwe rahisi kuheshimiana zaidi maana hapa jf nidhamu hamna kabisa,unaweza ukatukanana na baba mtu mzima au Babu yako.kwa hivyo napendekeza tujibu hili swali Ni kwa Nia Njema na Ni kwa hisani ya...
Kugombania magari ya mwisho wa jiji apa dar (Mbagala, Bunju, Gongo la Mboto na Mbezi) inatakiwa iingie kwenye Episode ya 1000 WAYS TO DIE [emoji30], Pia itumike kama CV ya kuomba nafasi jeshini...
TUKIO LA KWELI KATIKA MAISHA HALISI.
Siku ya November 24 mwaka 1971, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mji wa Portland jamaa aliyevaa suti nyeusi na koti refu jeusi kwa juu akiwa amebeba...
Habari wanajamvi?
Nimevutiwa sana na utendaji na umakini wa wafanyakazi wa JF, kama kuna mfanyakazi wowote aidha invisible, mods, admin nk wakike ambaye yupo singo anitafute PM'
Kwani hawa...
Habari wakuu poleni na majukumu, kama kichwa cha habari hapo juu naombeni msaada wenu kwa wale wenye moyo wa ubinadamu na huruma nahitaji msaada wa mchango wenu ili niweze kukamilisha kibanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.