Wadau, ili suala nimekuwa nikijiuliza kwanin wake za walimu wetu wafikie hatua ya kutembea na wanafunzi hususani sisi tuliosoma BOARDING ZA BOYZ, binafsi nilikuwa nafanya yangu na mke wa mwalimu...
Kutoka utunwani Misri,
Baada ya wiki tukio la klabu bingwa Tanzania Simba SC kufungwa na SC Vita ya Congo DR magoli 5-0 deni la Taifa lilipanda na kufikia Trilioni 61.8. Jana Simba hao hao huko...
Baada ya maombi mengi ya wadau (especially wadada) ninaokutana nao PM kutaka tufahamiane zaidi kikubwa kikiwa ni kuonyeshana pic zetu halisi. Nimeamua kuweka pic yangu halisi kama avatar.
Nb...
Huyu ni mnyama anayebadilika rangi,tangu Niko mdogo niliambiwa anajiwe la moto anaweza kukutemea ukafa.,lakini haikuwahi kutokea kuogopa.
Imekuwa tofauti kwa mama zetu,waoga mno kwann lakini...
Zamani bwana binti anapelekwa kuanza darsa la kwanza ana miaka 14 kifuani ana mtindi wa haja au kijana na besi lake
Siku hizi katoto kakijua kutembea tu tayari kanaenda shule
Zamani ni lazima...
Wanaosema ccm haijui kuplan miradi mikubwa na wakomee kabisa, walegeee. Yule architect mturuki aliye pewa tenda ya kudesign Msalato International Airport kesha maliza kazi yake
Hii ndio miradi...
Kitendawili
Mimi ni klabu
Nimesajili kikosi cha bilioni moja
Mwaka huu naambulia patupu kwani makombe yote nimeshatolewa.
Nimepigwa goli 10 kwa wiki mbili na bado nadhani zitaongezeka tena...
Mabibi na mabwana
Mtakumbuka enzi za popobawa kushika hatamu ambavyo aliwashikisha adabu wachungaji, waumini, mashehe, wanasiasa, na hata wageni walio itembelea Tanzania. Hakika nchi haikutawaliwa...
Jf raha jamani no stress no maudhi najikuta natabasamu tu ninapo soma thread na comments za watu, sometime najiuliza nilikuwa wapi mpaka nakosa huu utamu.
Teh teh teh acha nicheke na JF niongeze...
Hapa ni kwa wenye wapenzi hapa kama upo single tega sikio. Mfano babe yako kamwita babe member mwingine!! Unaskia wivu?
Je akimwita babe member mwingine kwa Id usioijua utajuaje ndiyo yeye ili...
Wakuu nimekuwa nikisikia sana kuhusu Masaji sijui Meseji ..... kiukweli sijawahi
Jua hii Kitu inakuwaje hivyo nimetinga hapa Sinza nimeambiwa huku ndo kuna
Wataalamu wa Hiyo kitu, Nakaribia...
walipoitwa underdogs walichachamaa wkataka kufanya maandamano wakawa wanamuona shafii dauda mchawi lakini sasa ukweli wanao,hakyanan Simba angeshinda leo ningeacha kabisa kuangalia mpira,lakini...
1,Hata nikipigiwa simu naingalia tu au nachelewa kupokea,,
2,Nachelewa kujibu sms,,,
3, Nikimkubalia huko mbeleni nitamuumiza tu,,
Kila mda anaulizia jibu,,, mm namjibu kuwa acha matani bwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.