kufananisha sio tu sura bhna. Kuna ule msemo Ukiona njugu unadhani ni njege na ukiona njege unadhani ni njugu, humu ndani kwa baadhi ya member unajidhihirisha.
Humu kuna members huwa wanafanana...
Wale wa kibaha nadhani mnajua kila jumamosi ni siku ya kula nyama choma hapa machinjioni.
Nahitaji mdada aje muda huu hapa machinjioni tuke tule nyama, tupige story kadhaa, na tufurahi pamoja...
Kama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.
Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Mwifwa kama guest,uliza swali...
DOGO: Eti baba mtu stupid yuko je?
DADDY: Hilo ni swali zuri sana, a
very good kweshen kwa kweli I am
praud of you, you see mwanangu,
mtu stupid ni yule ambaye akiulizwa
just a simpo kweshen...
Hapa mtaani Kuna Jamaa Kwa muonekano ni mtu wa makamo umri umeenda Jinsi Jamii inavyomtreat ni tofauti Sana kulinganisha na umri wake inahudhunisha kuona mtu mzima anadharaulika hii yote ni sababu...
MAMBO KUMI(10 ) NILIYOJIFUNZA JANUARY[emoji1607][emoji1607][emoji1607]
1. Kumbe waweza shinda njaa bila kufa.
[emoji849][emoji856][emoji43]
2.Kumbe waweza beba chakula na kwenda nacho...
_*Muokota makopo katika uokotaji wake wa makopo akaona chupa ambayo ndani kuna ki2, alipoifungua likatoka jitu la ajabu. Huku akitetemeka lile jitu likamwambia kijana asante sana kwa kuniokoa omba...
Kila mtu ana zake kulingana na watu anaowasiliana nao ,wengi huwa tunaziiba kwa wengine au kwenye makundi nia ni aidha kumfikishia dongo mtu au tu kufurahisha wanaotembelea status yako tuanze na...
Nina miaka 27 toka nihamie Dar kutoka mkoani. Wanawake wa mikoani hususani kanda ya ziwa wana adabu sana. Ukikutana naye njiani lazima akupishe. Tofauti na wanawake wa Dar hawakupishi. Ukitembea...
Salute Bosses..
Naandika uzi huu nikicheki wimbo wa Runtown Ft Nasty C _ Saif. On Wasafi TV.
Toka nianze kuwafatilia hawa wasanii wawili Runtown from Nigeria na Jux from Tzania hawajawahi...
Wakuu Mimi rekodi zangu nimevunja hapa hapa dar inatokea nishakula nauli kwa hiyo option ya mwisho ikawa Ni kuprint by ngoko.nishatoka kariakoo mpaka segerea kwa mguu,pia route ya ubungo mpaka...
Hiki kisa kinaweza kuwa kinachekesha ila kina funzo ndani yake!
Mama mmoja mwenye umri wa miaka 30 na watoto watano, amejikuta akitandikwa NGUMI ZA CHEMBE baada ya kumuomba mmewe yaani baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.