wakuu salaam ; nimepotea kariakoo,
mapema leo asubuhi nilifika asubuhi kwa ajili ya shooping kidogo;
nikakusanya mazaga mazaga , sasa tayati kwa kurudi....... kimbembe kikawa ni wapi pakupandia...
Uzi wa kuelezana kwanini uko macho mpaka sasa
Mi nko macho kwa sababu leo nna mawazo sana nimevurugwa na nimpendaye najua apa kupata usingizi labda saa 8 hivi
Na wewe endelezea...... ..
Sent...
Huwa najiuliza hili swali mara nyingi, mimi ni nini? Maana najikagu naona mguu wangu, naona mkono wangu, naona kichwa changu, naona kiwiliwili changu, hapo vyote naona ni vyangu, sasa mimi ni...
mahondaw wangu siku hii ni maalum ya maisha yako, nataka kuona tabasamu lako kwenye hii siku yako ya kuzaliwa. Hakuna kilicho bora kuliko kushiriki siku hii maalum na wewe mahondaw wangu, wewe...
" nina binamu yangu matokeo yake ya kidato cha nne co mazuli kabisa ningependa nimpeleke collage ndogondogo ili apate japo utaalamu wowote ili asije kua mzigo baadae je nimpeleke kozi gani ambayo...
Jiandaeni kwa mwaliko wa kwenda Ikulu. Risala yenu isifu juhudi za mtukufu kununua madege, kujenga reli,kujenga daraja la Mfugale, kupanua na kuikarabati JKNIA na ujenzi wa Chato International...
Habari za asubuhi habari za ijumaa wana jf.
Swali langu kwanini ndege huyu ameitwa ndege mwaarabu?
1.kafanana na waarabu?
2.anatabia za waarabu?
Mi sijui ndio maana nimelileta kwenu mnisaidie...
1) Huwa nashangazwa sana kwanini hakuna mabeki tatu tasa ?
2) Pili kwanini kila ukigusa tyu kila siku anakua majira ya joto hawana free day:D:D:D
3) Uimpa mimba mtoto anatoka copyright...
Whatsapp haina siri tena. Fahamu Jinsi ya kusoma sms kwenye akaunti ya rafiki yako kwa hatua hizi:
1. Search jina la rafiki yako toka contacts zako
2. Nenda kwenye Message
3. Kwenye sehemu ya...
Kuna Wakati Umri Wako Ukifika Makamo Ya Utuuzima "Hautakiwi Kuzungumza/Kutenda .Baadhi Ya Mambo Iwe Kwa Utani Au Bahati Mbaya Ili Kuilinda Heshima Yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Aman iwe juu yenu wakuu
Aisee Leo kumetokea tafran baina ya wajeda yaan wanajeshi na askari Wa kutuliza ghasia FFU wenye vikofia vyekundu kichwan
Aisee mkono umetembea sijawah ona, zimepigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.