Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia...
Ukweli,
Kwanza kuna itikadi yetu ambayo hua ni umoja popote ulipo.
Yaani kwanza kama sio rozari shingoni na kujiamini bado hujakamilika hata uwe uliishia form four haukuendelea na miaka ya...
Je una lip la ku share nasi? Maana unaweza kusita kulitoa sasa na ukose muda wa kulitoa milele
Usiku mwema mpendwa Tanganyika.. Wewe ndie mama yetu na baba yetu.. Tunakupenda sana
Hebu tupeane uzoefu kumtongoza mwanamke wa umri 60 +. Nini matokeo? Je, kuna uwezekano wa kupigwa kibuyu? Wazee wenzangu hebu tupeane mrejesho.
Kuna mzee mwenzangu nina hofu asije nitangaza...
Kama kawa, kama dawa....
Asili kuacha ni kimbembee....
https://youtube.com/shorts/FGKi35ClhvM?si=TYfyZ1TtOMv45IZt
Muonekano hapo juu wa picha unasema yote, mwanamke akiwa juu ya Farasi...
Wakuu imezoeleka kwamba mtu unapoamka asubuhi na hang_over au mning`inio kwa kibantu basi watu wengi hukimbilia supu ya nyama makongoro au miguu ya wanyama walao nyasi.
Kiuhalisia supu ya nyama...
Huu ni uzi maalum kabisa kwa wale wachache tunaokwenda na muda kiasi cha kuhakikisha teknolojia mpya zaidi ya simu duniani yaani iphone 16 ipo kwenye mikono yetu laini.
Hapa tutaambiana vile...
Nimeona niweke thread tuweke majina ambayo kiuhalisia ni jina moja. .. tofauti ni jinsia Tu ya mtoto anaepewa.. .
Twendeni...
Joseph/Josephine .
Noel / Noela .
Shariff/Shariffa..
Aziz/Aziza
Ah wapi! Sitoi salamu
Serikali mbona mnatunyanyasa asee?. Mnataka sisi hela za nyagi tuzitolee wapi? Jamaa tumeshawazoea kupigizana kelele mikwara kibao.
Leo nimeamua kutafuta bifu na bahari...
Kijana huyu hapo chini kwenye picha ni mwanasheria lakini anafanya kazi ya kuuza genge baada ya kuona ajira hazieleweki. (eastafricaTv)
Mdau hebu tuambie je Kwasasa unafanya kazi ya ulichokisomea?
Without naming a film, what is one quote that gives it away?
βGood morning, and in case I don't see ya, good afternoon, good evening, and goodnight!β
Kitu au jambo gani ukilisikia tu au kuliona unajua linafanyika Tanzania hakuna sehemu nyingine.
Naanza na mimi Kuunga kifurushi cha wiki kikaisha ndani ya siku moja
Hahh wale masista duuu Depal na nyie vibiuhandsom boy wa makumbusho mixer virasta na mkorogo muda wa kumkaribisha mgeni nyumani na chooni
Msijali mwakani muda kama huu pia mtateseka kwa desing...
Yaani.....
1. Nimepoteza kabisa Nuru
2. Natia Huruma niwapo na Watu
3. Sijiamini amini
4. Najishtukia
5. Napatwa na hamu ya kwenda Kijijini mara kwa mara
6. Nikikumbuka tu nilichokifanya...
Moja kwa moja kwenye mada.
Leo tu waandikie wazazi wako ujumbe mzuri kwa yote waliyokufanyia hadi sasa upo hivyo ulivyo.
Haijalishi wako hai au wametangulia mbele za haki, wewe andika neno zuri...