Mimi nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2008 nikiwa katika pita pita zangu nikafika kwenye mjengo mmoja wa maana ulikuwa na madirisha ya vioo vile vyeusi si nikaanza kujiangalia vile vioo huku nikiwa...
Wanatech karibuni kwenye uzi wetu mpya ambao utakuwezesha ku'share stori ama tukio lolote unalolikumbuka kipindi unasoma pale tech.
Welcome Technical Boys.
Screenshot high score ulizofikisha katika uchezaji wako wa magame. Andika jina la game kisha picha, kama kuna mtu kazidi alama za game unalocheza ata reply.
2048
Kweli tembea uone kila siku utaona mapya na hutoyamaliza mengine ya kuelimisha kuburudisha na kusisimua hakika dunian ni sehemu ambayo unapata full package kujifunza, kuburudika n.k
Mchana mwema...
Habari ya jioni wana JF. Mko salama jamani?😊
Ninaimani kichwa cha habari kinajieleza vyema.
Yes! natamani sana kuacha kunywa coffee hususani espresso.
na
cappuccino.
Nisipokunywa Kwa asilimia...
Huu ni uzi wa watu mbalimbali tuliowahi kusoma shule hii kongwe inayopatikana katika kata ya TANDALE, wilaya ya KINONDONI, mkoa wa DAR ES SALAAM katika miaka tofauti tofauti ili tuweze kujuana na...
"Sio kila mtu anafaa kunywa hata glasi moja ya Pombe"-Dk.Nuruel Kitomari - Bingwa wa Afya ya Akili na magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Chanzo: itvtz
Hakuna kitu nakichukia...
Mi mkongwe sana humu jf ila ndo hvyo,mambo ya ID tena okay iko hiv
Mi nilisoma hapo udsm, miaka hyo ya 2009-13
Aisee ni moja ya vijana tuliopata matokeo mazur 6,sio TO lakin.
Ila ni kijana...
Kwa sisi tulio nyumbani leo tutafuatilia mbashara matukio mawili.
Mosi; Tanzania vs Guinnea
Pili; Kamala Haris vs Donald Trump presidential debate live on ABC.
Wakuu hilo la pili sio la kukosa...
Vijiweni, maofisini au popote tunapokutana na watu tofauti tofauti kila siku kwa nyakati tofauti huwa kuna wakati tunakutana na watu - hata washkaji zetu wenyewe - wanatupa story kuhusu mambo...
Salaam kwa Wanajukwaa..baada ya pilika pilika na changamoto za hapa na pale nimerejea Jukwaani.Namshukuru Mungu Kwa Uhai..Sasa nitaweza kusoma na Kuchangia hoja
Nina siku kadhaa nikikaa tu mahala kupata safari lager, watu laZima waniulize bro vip umetoka mkoa?
Nasema hapana
Wanasema unavyotoka jasho hivi wewe ni wa mkoa nami naamua kukubali.
Jua na...