Kwa mtazamo wangu naona hizi ndio nyuzi 10 maarufu zaidi hapa jukwaani.
KIMASIHARA
https://www.jamiiforums.com/threads/ulishawahi-kula-tunda-kimasihara.1634229/
KIHASIBU...
Jana usiku wakati nimekaa na mdogo wangu wa kiume mkubwa anayenifwata kuzaliwa akaniambia "Dada kumbe baba fulani (akamtaja baba mtoto wangu) ndio hana akili hivyo? Yaani jinsi nilivyokuwa...
Wakuu, wakati nakuja Marekani nilihakikishiwa uwepo wa watu wengi kusapoti afya ya akili. Kimsingi wameweka misingi mingi mizuri kwamba ukijiona hauko sawa unawacheki wakuweke sawa. Sijawahi kuwa...
Je, bossies nani alikutana na vurugumai ya Buju?
Yule headmaster anayevuta bangi alikuwa anaitwa nani?
~ Je, mshana na wenzie wapo?
~ Nani alipigwa mijeledi na yule Jamaa Buju??
~ Je...
Nilisoma mada moja jinsi panya mende mijusi wanavyoondoa baraka za nyumban nikapiga dawa nkafanikiwa.
Sasa na geti moja na wapangaji wangu wakisahau kufunga tu, unakuta mbuzi 10 ndani. Sasa hawa...
Kuna uhusiano gani kati ya pombe na Kiingereza? Kwanini wanywaji wa pombe walio wengi huzungumza kizungu mara baada ya kulewa? Japo ni broken English lakini najiuliza kwanini isiwe kichina? Au...
Wanajukwaa kama mnavyojua kumkopesha pesa ndugu yako lolote linaweza kutokea hivyo hakikisha mnakumbatiana kwa mara ya mwisho.
NB; Usimkopeshe ndugu yako pesa bali mpe kabisa
Soma Pia...
Salamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.
Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
VODABIMA: Habari yako Mama Esta , hapa ni Vodacom, tunakukaribisha kujiunga na bima yetu. Ukifa leo watoto wako watasomeshwa, ukipata ajali ukapata ulemavu utatunzwa hadi kufa kwako. Ukiugua...
Wakuu kwema? Ziara ya Nachingwea imetamatika sasa naja Mtwara mjìni.
Wenyeji wa Mtwara mjini naomba mnipe maelekezo.
Sehemu zipi za kuburudika? Na kuhusu wale watu wetu wa jinsia pendwa ni...
Wakuu kwema.!
Wiki ijaona natarajia kusafiri kwenda wilaya tajwa hapo juu natokea mvomero, Morogoro, nitakuwepo huko kwa siku 21
Naomba kuuliza machache,
Usafiri wa kwenda huko unaanzia Moro ama...
Jiulize haya yanatutokea kila siku.....
LAW OF QUEUE:
Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi.
LAW OF TELEPHONE:
Namba unayopiga kwa makosa daima...
Kuna Mpare mmoja anaishi karibu na Benki, baada ya kushawishiwa kwa muda mrefu na ndugu na marafiki zake aweke pesa Benki kwa usalama wa pesa zake, kwa taabu sana akakubali kuweka pesa Benki...
Yaani mimi binafsi huwa nashangaa wanawake ambao wanadate na wanaume ambao hawajatahiriwa
Yaani mauchafu yake yote anakuingizia humo ndani na wewe unaenjoy kabisaaa
Nimewahi kukutana na mwanaume...
Kinuthia works hard at the office and spends most evenings playing pool at Kachoi.
His wife thinks he is pushing himself too hard, so for his birthday she takes him to a local strip club...
A story is told of this young girl who boarded a bus from Nairobi. The bus was headed for Western Kenya. On reaching Westlands the gal got from her seat and walked to the driver and asked...
Cigarette : A pinch of tobacco rolled in paper with fire at one end & a fool at the other.
Lecture : An art of transferring information from the notes of the lecturer to the notes of the...