Mkuu wa kitengo ,boss ,msimamizi katika eneo fulani,nk. Anaamua kuleta vyakula vyake na kupikwa na watu wake huko anaowajua ndani ya eneo la kazi na kupakuliwa huko huko.
Nakulazimisha watu...
Madame wa biology aliingia class akakuta board ni chafu. Akaniambia kwa kuwa nimeshindwa ku-sort mtu afute, basi nikafute mimi. Nimeenda kufuta ubao, nikatafuta duster cleaner, nikaikosa...
Wakuu,
Tupeane maujuzi hapa ya mambo ya kufanya na kutokufanya
Ukiahamia chumba kipya au nyumba mpya uzingatie nini?
Sasa msije mkasema "Uingie na boksa kinyume nyume"🤣🤣🤣🤣maana nimewahi kusikia...
Ni vigezo vya wastani, sio kwamba mikoa hii haina watu wafupi, on average kwa wanaume kuanzia futi 5.8 (177 cm) na wanawake futi 5.4 (165 cm)
Ni takwimu tu, mikoa mingine hawana watu warefu ila...
BLUE BAND - watanzania wengi hawalijui neno la siagi, msamiati wa siagi umekuwa blueband kwasababu ni bidhaa iliyoweza kupata umaarufu kwa muda mrefu sana, hii kitu ikipakwa kweye mkate ushushie...
Tulikuwa kwenye hafla moja ya kikazi hapo dar, maafsa wote tulialikwa kwenda kushiriki na kutoa hoja za kimijadala.
Nilikula suti yangu kali na moka za kuchongoka, huku kakitambi nacho...
Katika maisha Yako ukiachana na umauti ambao Kila nafsi itaonja., Ni jambo gani hutamani likutokee Mimi binafsi naogopa Radhi za wazazi na kupata maradhi makubwa kama AIDS na Kansa. Je wewe...
Hello good people,mko poa?
Mie niko poa
Niko bored hapa,sina usingizi kusema nilale sasa hivi
Kazini naingia night shift na babe yuko zake job....let's chat
Kwa wale mlio kwenye mahusiano...
Wakuu habarini!!! Kuna binti nipo nae ila nafsi inampenda ila akili haitaki cz sio mweupe. Yaan hisia hizi zinanipelekesha sana nashindwa nimuachaje na amenipenda pia ila ndoivo niliapaga ntaoa...
Kipindi tupo maservice enzi izo kambi fulani kulikuwa na op ilio tutangulia sasa kulikuwa na kijana mmoja maarufu sana anaitwa ngosha so sisi op mpya tulivyo fika pale kikosini tukamkuta sisi...
Habari zenu ndugu zangu wanajukwaa.
Nikifahamu kwamba humu ndani ya jukwaa wapo watu wa namna mbalmbalii na experience mbalimbali, leo nawaomba wale waliopitia seminary tukutane hapa...
Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa!
Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
Ukiachilia mbali yale ya yule bi dada mwenyekiti kule kwenye jumba vikao vya kaya.
Wakuu kwa wale mlioutwangwa mtindi weekend hii ukizingatia ilikua ya mwisho wa mwezi tukumbushane tu hata kama...
Waswahili wanasema akiba haiozi basi kupitia kitabu cha Richest Man in Bablion anasema.
“Hakikisha una kipato kwaajili ya siku zijazo. Waangalie wazee na kumbuka kuwa siku zijazo nawe utakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.