Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae
Anasema anaendelea...
Sijamtaja mtu nimekumbuka katuni ya Kirikuu. Chama cha kijani kinaandwa na laana ya kuropoka ropoka
Alianza Waziri Pena, Akaja, Mama yangu Kumwita Mnyama jina la Binadamu.
Mara Mbwa.
Chura
Simba...
Hii nimeshajaribu mara kadhaa, ukicheki dashboard mshale unasoma 120kph, gari inaenda kasi, lakini unaona kama imesimama hivi.., ukicheki nje unaona kabisa hii gari haizidi 30kph..,
Salaam !
Kaka mkubwa "The Boss" nimekumiss mdogo wako Mkunazi Njiwa [emoji7]
Nimemiss mikato ya maneno yako mkuu wangu....
Popote ulipo "shout out" dude !
#Nchi Isalama chini ya mh.Rais...
Wadau mimi nina swali hapa. Wapi ni sehemu sahihi haswa ya kukutana na mchumba wa kuoa?
Wengi wanasema sehemu ya ibada, je nyie wana jamii Forum mwaona wapi ni pazuri kukutana na mchumba wa kuanza...
Chemsha mchaichai majani ya maboga oga siku tatu maji uvuguvugu tia chumvi mawe kijiko kimoja manuizi ya mvuto kupendwa kuthaminika.
Fanya mpaka saba, ogea njoo niambie.
Enzi huzo nipo chuo, mida ya asubuhi nimeenda mgahawani kupata supu then niingie zangu pindi.
Basi bwana, nikafika nikaagiza supu nikawa nasubiriwa niletewe.
Sasa kuna vile vitambaa vya...
Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa Kwa chakorii..
Karibu tusheherekee pamoja na Gemini.
Kama na wewe unasheherekea birthday yako leo tafadhali mguse Mungu Kwa namna ya kipekee kabisa.Tembelea watoto...
Hello hello hellooooooo.
Mko salama jamani😉😉
Leo ni birthday ya Chakorii.
Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶
Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳
Huhuhuuuu🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
🥂🥂🥂🥂
Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu
Sasa najiuliza ni matangazo au...
Nakumbuka miaka ya 90, hakukuwa na access sana na mitandao hasa hii ya kijamii,
Hapa naongea kabla ya Facebook, kabla ya tweeter, JF, Badoo, instagram hata whatsapp,
Najua wahenga walijua...
Wakuu, weekend hii naingia Mjini(Kariakoo).. nitakuwepo kama siku tatu hivi.. nahitaji Lodge Affordable inayo-range bei ya 20,000 - 30,000(Isizidi hapa)
Nahitaji connection zenu wakuu ili...
Wakuu nimeamua kuileta hii habari kama thread sio story ya kutunga ni kweli ilinitokea kipindi cha nyuma kidogo miaka ya 2008.
Ilishawahi kunitokea hiyo Kijijini aisee.
Nimetoka zangu Dar nikaenda...
Tuliosoma vyuo vikuu vya mijini tukutane hapa.
Wahenga wanasema ukizaliwa mjini tu basi wewe Form 6. Ukikulia mjini basi tayari upo University.
Tuliosoma Vyuo Vikuu vya mjini kuna raha yake...
Ughonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.