JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jeshi la Polisi Tanzania kwa siku hizi mbili wametumia si chini ya shillngi millioni 300 kwa kutengeneza hofu"fear of unknown" na kwenda kupambana na hofu waliyo jitengenezea wao wenyewe. 1.Hatua...
6 Reactions
7 Replies
555 Views
Wengi tulipokuwa katika umri wa utoto tulikuwa na ndoto mbalimbali. Je, maisha yako ya sasa yapo kama ndoto zako au yamekua kinyume na matarajio, *share your experience
2 Reactions
26 Replies
572 Views
Hii ni simu yangu ya samsung, nimeifanyia customization kali sana kuanzia wallpaper, icon, renaming nk Ukicheki hapo juu ni scree ya simu yangu ilivyo...prety cool isn't it guys? Hap chini...
0 Reactions
4 Replies
285 Views
Bridge: See Martin yah, woaai Lawd a mercy Woaai(wooaah), Verse 1: hey hey yo It's not the first nor the last So, so much pretty girl a pass, and Holding out is such a task That's why me a seh...
1 Reactions
4 Replies
273 Views
Mimi bado Lindi, Mtwara, Rukwa na Kagera. Soon nitamalizana nayo Tupe uzoefu wako
6 Reactions
85 Replies
1K Views
Nilikua natuma meseji group la familia kuuliza kama hawajambo nikaandika "hamjambi humu ndani ?"
1 Reactions
11 Replies
391 Views
Asubuhi kabla ya kuanza shughuli zake anakunjwa energy drink Mchana na jioni lazima anywe hizi pombe kali smart gin/ double kick. Ni mfumo wa maisha yake kwa kitambo sasa, tumpe conclusion gani...
9 Reactions
40 Replies
736 Views
Wenye Hekima Hufikiri kisha hutenda, wasio na Hekima Hutenda , kisha wakafikiri na Kujutia
1 Reactions
1 Replies
107 Views
Maana ana cheza kanakwamba sio mdaiwa sugu😂😂🤣 https://x.com/Kirikuu20/status/1828029275099828561?t=zYCmozjIC-s5EIqEyeBhCA&s=19
2 Reactions
2 Replies
177 Views
Hii ni moja ya mambo yaliyowahi kunishangaza sana. Huyo mwamba aliyeshikilia hapo ameamua kuweka kende zake rehani kwa ajili ya taifa.
1 Reactions
1 Replies
194 Views
Wale tuliosoma makongo sec Tukumbushane walimu wetu na mbwembwe zao Mnamkumbuka Master,malongoli Alikuepo mwamba mkifanya pepa anaanza kusahihisha anapotoka darasani akifika staff kamaliza...
2 Reactions
0 Replies
145 Views
Mtu mwenye tabia gani huwezi kuwa nae kwenye mahusiano kamwe?
7 Reactions
65 Replies
1K Views
kipi cha kufurahia hasa, mimi sioni maajabu ya hiyo siku
1 Reactions
1 Replies
149 Views
Nchi za mashariki mwa bara la Asia kuna falsafa ya kale sana wanayoiamini kuhusiana na muunganiko na mahusiano ya binadamu. Falsafa hii inaitwa Red String Of Fate (Yīnyuán hóngxiàn). Kwamba, kuna...
98 Reactions
496 Replies
36K Views
Ushawahi kupitia kipindi kigumu kiuchumi? Ulijikwamuaje?
1 Reactions
15 Replies
458 Views
Kama ndo hivyo, hela tunatakiwa tumpe nani??? Hapo ameniacha njia panda.
2 Reactions
9 Replies
267 Views
Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu. Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe...
6 Reactions
14 Replies
472 Views
Ukisikia kilimo cha pdf unakuwa una elewaje?
6 Reactions
37 Replies
866 Views
Kununua chakula na kula chakula kinachoandaliwa kwenye mazingira haya ni muujiza mmojawapo wa kuishi kibachela. . Tupe muujiza wako maajabu
10 Reactions
48 Replies
879 Views
Wataalam hiyo mistari ina kazi gani? Na inamaanisha nini?😇😇
1 Reactions
4 Replies
227 Views
Back
Top Bottom