Mashirika ya kimataifa yanapiga pesa ndefu..... Asasi za kiraia nchini "zinapiga pesa ndefu"....
Wote hao wanapinga watanzania wenzetu kuitwa wakazi wa Ngorongoro bali wanataka waitwe...
Kwa wale waliosoma Mihayo Primary school na kumaliza mwaka 1974 Tabora hebu tukumbushe ni kitu gani kilichokufurahisha sana au kukuchukiza kipindi kile.
Wakuu habari,
Em fikiria mko katika shule fulani ivi mkiwa mnajiandaa na mtihani kama testi kesho asubuhi saa 12 asubuhi, wewe na rafiki zako wa wili jumla mko watatu usiku mkapanga kutoroka...
Nina rafiki ambaye ni mpenda sifa mimi mtu mwenye sifa siwezani nae naweza kaa nae mnapiga story za kawaida tu ila ataanza jisifia hapo mara yeye hivi mara vile ni kero for sure
Mimi sipendi...
1. Kutembea na toothpick baada ya kutoka kula na kuchokoa meno hadharani.
2. Kuruka foleni (jumping queue)
3. Kuficha nyaraka ili uonekane mjuaji
Uzi tayari
Wakuu sasa nimerudi mjini kutoka kijiji Mbeya, hapa nina ideas kama 10 zikupiga hela za Watanzania kihalali bila kutumia nguvu.
Huku soko langu kubwa likiwa:
1. Wazee wanaoogopa kufa
2. Wamama...
Wakati wa kununua ng'ombe, usinunue kijijini kwako. Kwa sababu siku moja ng’ombe akienda mtoni kutafuta maji au kunywa maji, na mwenye ng’ombe wa zamani aliyekuuzia akimuona anaweza kumuelekeza...
Daah! jela bana..
Sitasema kosa langu ila Mamndenyi analijua.. na hata sema..
Nafili maugwadu ugwadu..
Jembe langu Erickb52 unanipoza na nani kati ya Chocs au Kipipi?..
Kule kwenye seva...
Wana CC,
Hope mko vyema.. najiingiza hapa nikiwa murua kabisa!
Nahitaji kufanya mahojiano ya wazi na wadada wafuatao,
Smile, Heaven on earth na Mrembo by Nature..
Kama mpo tayari naombeni...
Kila unachofanya unakuwa bored afu wimbo wa Damian Marley Jr na Bruno Mars liquor store unajirudia kichwani.
I'll take one shot for my pain
One drag for my sorrow
Get messed up today
I'll be ok...
Kipindi nasoma A level kuna Aunty yangu alinikopa hela tena ilikuwa ada ya shule ili afanye kama mtaji wa kuanzisha biashara yake ya kuuza mashuka ya mitumba akasema atairudisha kabla hatujaanza...
Hellow
Huwa kuna mda naumia sana nikiona mwanamke up now anategemea kuomba pesa kutoka kwa bwana wake au mtu yoyote kama upo hai tafuta pesa yako pesa ya kuomba inamasimango unakuta mwanamke up...
Hello Guys ‼️
Ipo hivi, mmekaa na mtu mnashare moja mbili tatu ghafla pua imemwasha anaanza kujisafisha pua Kwa mkono anamalizia alafu baada ya muda kidogo kwenye story limeingia jambo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.