JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hapo nazani wale kupiga usafi na kukunguta mashuka tupo pamoja
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Afande sele wala hata si afande Mwana fa wala hata sio mwanafalsafa Wadau na nyie malizien kwa mtitiriko huu
3 Reactions
116 Replies
10K Views
Kiasi kikubwa ulichowahi kuhonga ni shillingi ngapi? Mimi nilihonga 20000 Tshs na roho ikaniuma sana
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habali za jioni wakuu nina kelo inayonisumbua muda mrefu,sana leo naomba kuitoa hadhalani. ni kuhusu maadmin wengi wa magroup ya whatsapp haswa yanayojumuisha member wa kutoka jamiiforums...
4 Reactions
62 Replies
8K Views
Mpiga Picha; Mwalimu Mkuu Nitakuchaji Kila Mwanafunzi Sh. 500 Kwa Ajili Ya Pasport Size. Mwalimu Mkuu: Mwalimu Waambie Wanafunzi Walete Sh, 1000 Kila Mmoja Kwa Ajili Ya Pasport Size. Mwalimu...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..je ni kwa ajili ya mikikimikiki
2 Reactions
123 Replies
22K Views
Salam wakuu. Wale wa Dar Nitajie guest house nzuri zinazopatikana maeneo ya makumbusho ,mwenge ,kawe na maeneo mengine ya karibu na hizo sehemu!! Karibuni! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
722 Views
Oh, my love [laugh] Oh, yeah yeah Oh, yeah [Verse 1:] I'm sitting here alone up in my room I'm thinking about the times that we've been through Oh, my love I'm looking at a picture in my hand...
5 Reactions
197 Replies
7K Views
Ni dalili ya kukosa uhuru?
2 Reactions
251 Replies
27K Views
Siku za mwanzoni za uchumba wangu na Mangi. Alikuwa amesafiri siku anarudi nilifanya maandalizi ya kum surprise na mtori fresh. Ndege yaje ilikuwa inatua saa nne asubuhi. Niliamka saa kumi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
1. Mshana JR. 2.Max Macello. Ni matamanio yangu Siku moja nikutana na hawa watu na kubadilishana nao Mawili Matatu. Ww unatamani Ukutanae na Mwa JF Yupi. ?
9 Reactions
802 Replies
37K Views
Nia yangu sio kuingilia maisha ya mtu, mimj na wasomaji wengine tunataka tu kujua kwanini umeiondoa LAST- SEEN yako whatsapp?? Mimi binafsi sijaiondoa, na wala sioni sababu ya kuiondoa. Je, wewe...
0 Reactions
115 Replies
8K Views
Mtazame alafu utoe maoni yako kwake!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
My mom My Everything My woman Am speechless HAPPY BIRTHDAY Mwanamke uliyenifanya niwe hapa nilipo... Nakupenda sana mama angu!! Wow...Kiukweli I don't have full words of explaining how the...
12 Reactions
168 Replies
7K Views
Changamoto na mitihani unayopitia ya kimaisha, yote hayo ni katika kukufanya upanue mawazo zaidi na juhudi ili uweze kufanikiwa. Mungu hawezi kukusahau kamwe,,hiyo mitihani na changamoto...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Week end hii unaibuka kiwanja gani mwanangu ?Au hutaki tukale gambe ? Enewea...Uswahilini sehemu kama za Kiwalani, Temeke taa nyekundu, Keko, Mwanayamala, Manzese, Mabibo, Kigogo,Buguruni kisiwani...
20 Reactions
107 Replies
21K Views
Niaje wana ? Jiji la Dar es salaam ndio jiji la ukweli na lenye mbwembwe kwa hapa Tanzania .....Pamoja na sifa zote lakini lina vijimambo vyake bwana !!! 1/ Uchafu ndio mwake!! Dsm ndio jiji...
11 Reactions
163 Replies
20K Views
Lugha maarufu enzi zileeee.....; 1. Lete Tulivyokaa 2. Muongeze 5 huyo 3. Mbona bia haziendi? 4. Usiulize, wee Ongeza tu 5. Mbona jikoni hawatusikilizi?? 6. Aah,tunahudumiwa na...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…