๐๐๐ก๐๐ณ๐จ ๐ฐ๐ ๐๐๐ซ๐๐๐ฎ ๐๐จ๐ค๐จ๐ง๐ข.
Kila siku Nasoro alikuwa akienda kuomba msaada sokoni, na watu walikuwa wakimdhihaki kwa kumfanyia mchezo mmoja.
Walikuwa wakimuonyesha sarafu mbili, moja ikiwa na...
Ikitokea fursa nilipwe kwa ajili ya kufanya kitu kimoja tu maishani mwangu. Ningechagua kusafiri kuona na kujifunza vitu vipya. Kama wazungu wanavyosema we Only live Once
Wewe ungechagua kufanya...
Habari wana JF
Hivi kwenye maisha Yako ushawahi kujaribu kuingilia au kutetea ugomvi wa watu na nini kilikutokea?
Kwa experience yangu ya kutetea ugomvi nishawahi kukutana na changamoto tatu...
Huu ndo uzi wangu wa kwanza humu, mnikarbishe lkn yote ya yote umri umefika sasa kuwa na ndoa miaka 29 si haba.
Kwaio connection yenu ni muhimu kuhakikisha hili linafanikiwa. Kuanzia...
https://youtu.be/_z-1fTlSDF0?si=uUxAKC_qN5SQgpcQ
https://youtu.be/i1c6W0cTDTo?si=omdWwtqMu4or4xSM
Ishi sana mwanetu kutoka kigambonino huna baya mwanetu ishi sana nakutakia maisha marefu kama...
Ila leo huko kizimkazu kalazimishwa kuwa SIMBA damu.. Je huu ni utani wa kisiasa,? Ni madongo? Ni vijembe? Ni hofu kuu ama ni uchokonozi!!!?
Lissu atajibu lakini sio hapa na sio leo.. Usaha...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat".
Ni tumaini langu wote ni wazima.
Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma...
Habari wakuu?
Natumaini nyote mko poa kabisa na mmejipanga vizuri katika kusherehekea weekend inayotegemea kuanza leo jioni, baada ya kupambana wiki nzima katika utafutaji wa mkate wa kila siku...
Kwenye maisha ni kipi kinauma zaidi hasa kweny mazingira tunayo ishi ya kila siku??
1.kufiwa na mzazi au wazazi
2.kufiwa na mpenzi au mke
3.kufumania au kufumaniwa na mke au mume wa mtu
4.kuacha...
Daah maisha yanatupitisha kwenye moments ambazo ni ngumu kusahaulika. Moja ya moment ambayo sitakuja kuisahau ni jinsi Bank ya Finca ilivotufanyia somba somba alooo.
Nakumbuka mwaka 2010 tumekaa...
Mzuqa wanajf,
Nilikuwa nashuka kwenye kituo changu mlango wa nyuma. Licha ya kubonyeza kengele mlango bado ulikuwa haufunguki ila wa kati ulifunguka. Nikapiga kelele kwa lafudhi kali ya Arusha...
Hello!! Niaje wadau... kama kichwa cha habari kinavyosema... unamiliki usafiri gani kama huna usafiri tuambie ndoto zako za usafiri gani unaotaka kumiliki ukipata mshiko... nikianza na mimi...
RULES OF DATING SOMEONE'S HUSBAND;
1. Never take photos with him.
2. If you called and he hangs up, don't call him back, the wife is around.
3. Don't text him love messages.
4. Satan...