Napochati na mademu najikutaka kwenye sintofaham nikiona ametumia hili neno "jomoni" huwa najiuliza ndo kudeka au kitu gani maana hata nikilitamka linavyo sound halifanani na neno "jamani".acheni...
Nipo Maeneo ya Kijitonyama Karibu na Baa ya Irene Uwoya kuna Milio kama ya Risasi inatokea maeneo ya Mabatini au Africa Sanaa. Kulikoni
Leo imerejea
Tar.16.08 kuanzia Saa 3 mpaka sasa
kumbe ni...
Nimefanya kajiutafiti nikagundua wanawake wengi wa Kitanzania au kiafrica wamekuwa tegemezi sana kwenye silaha moja tu.
"MAKALIO YAO" Asilimia kubwa ya wanawake hasa wa mjini wamekuwa wakitumia...
Sitaki kuamini kuwa humu wanaume hamna madorali eti?
Hahahah mbona mimi najua kuna watu wanapesa na madorali lakini napata malalamiko kuwa hamna pesaa?
Hebu watokeee member wa5 wa kiume...
...Ni muda kuwakumbuka wanaJF wenzetu popote walipo kwa kuwatumia salaam za kuwatakia kheri kwa kila walitendalo.
salaam zangu za kwanza ziende kwa..dada Valentina popote alipo.
...za pili ziende...
Katika Historia ya nchii tokea izaliwe Mkoa wa Mara ( Musoma ) haujawahi kuwa wa mwisho katika matokeo yoyote yale ya Elimu kwa nchi hii ya Tanzania hasa ikiaminika na kujulikana kwamba kama kuna...
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Ni jtatu saa tano asubuh Niko room (block D 204) tunaishi masela 8 (ingawa kuna vitanda 4). Niko peke yangu nachek ratiba sina pindi leo.. Aah...
Naomba niulize kubadili cheti ambacho kime kosewa jina la Academy issue (Cheti cha Shule na Cha Kuzaliwa hua ina cost how much)??? Pia kama kuna mtu ali pata tatizo hili plizz naomba ani tafute au...
weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika.
Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani...
Ukweli ni mchungu sana asikwambie mtu,ila ukweli huwa mtamu ukijiandaa kuupokea na kuukubali,kwani huimarisha afya ya AKILI na MOYO.
Ukweli huleta upendo na amani,ukweli hufichua maovu,na ukweli...
Ndugu zangu, humu kuna member ni makini na wanaelewa mambo mengi mno na michango na mada zao zinakufungua sana akili na kukupanua kimawazo ila kutokana na mfumo kutowatambua wanakosa haki yao...
Jamaa mmoja kagoma kupisha ambulance, dereva anapiga kelele atoke barabarani jamaa anajibu ebu zima dude lako Usinisumbue:p:p:p:D
Juzi kati napo kuna jamaa nae alikua anatembea njiani mwenye gar...