Ule utamu unaopishana kidogo na utamu wa papuchi umerudi sasa,siku za wkend hatutopatikana tena kirahisi.
Game zinaanza ijumaa zinaisha jpili,nasisitiza ni ngumu kutupata kwa kipindi hichi
Hebu tafakari member waliokuwa maarufu kipindi hicho ila kwa sasa hawasikiki tena watu nane na faiza foxy ni kati ya member ambao hawapo kwa muda sasa hebu tutumie Uzi huu kuwakumbuka na wengine...
Ukimtendea mwenzio na wewe utatendewa hivyo hivyo.
Kama wewe ni Bingwa wa kutembea na wanafunzi kaa ukijua katoto Kako ka kike katapata tabu sana.
Kuna Matukio kadhaa yanafanana ndo yamenifanya...
Kijana mmoja ambaye ni mwendesha boda boda huko Kenya amejikuta katika mgogoro mkubwa na mke wake ambao umempelekea kulala nje
Mwanamke huyo aliyemtangazia mbele ya umati wa watu waliokuwa...
Mimi nilikuwa fundi rangi lakini sasa kazi za kupaka rangi zimepungua Sana, nina mke, watoto wawili na wazazi wote wako hai wananitegemea. Kodi ya chumba, chakula na maji na umeme vimeninda...
Bwana kupika ni kipaji hasa sie wanaume. Nakumbuka mara yangu ya kwanza kupika chipsi nilizitoa kama zile za @figganiga. miugali miugali.
sasa ya leo kali nilinunua pop corn..nikawa nazitafutia...
Nawasalimu kwa jina la bwana
Ni jana tu
Nikiwa napita pita kwenye akaunt za kutisha tisha (napenda sana vitu vya kutisha).Nikakuta kwenye akaunti moja wameandka
"Ndani ya enternet kuna Email...
Siku zote mwanaune hawezi kuridhika na mwanamke mmoja. Yaani hata ikitokea mwanaume akawekewa wanawake 10 Achague mmoja mzuriii kuliko wote amchukue bado mwanaume atajilaumu kwa wale wengine...
Habari wanajamvi,bila kupoteza muda kwa kweli sijui nimeathiriwa na jamii yangu au la pamoja na kusoma kote huko binafsi siwezi kufanya mambo yafuatayo kwenye ndoa
1,Kupangiana zamu za...
Yes,it is the time to show those who are laughing at us with our poor english
Please comment anything by using our kayumba's english
welcome
NOTE BEEN;correct you member where you think his/her...
Wana Bodi, nimeanzisha thread hii ya kujulishana maeneo tunayolia bata weekend hii, Mimi Niko Maeneo ya Kawe beach nabarizi huku nikila vitu (bia)na marafiki
Wewe uko maeneo gani muda huu
Mzuqa,
Hii niliipataga Chuga kijiweni miaka ya nyuma.
Jamaa huko Shinyanga ghetto kila akianza kulala kuna mchawi tena jirani yake anaanza kumpiga juju kwa kumbughudhi kwa kelele za sauti za...
Tuweni wa kweli,wadada na wakaka ambao bado ku do,na je?tu handle vipi the real situation mitaani kwa maseng'enyo,matambo,matukano na unafiki kwa watu ambao wanesha experience haya mambo.kama...
Gor Mahia have rejected an offer of £12million from Manchester United for the transfer of central defender Harun Shakava. #MUFC #DeadlineDay TransferNewsCentral on Twitter
Wakati huo huo...
Klabu...
Mambo ya kushangaza na itikadi kuhusu tendo la ndoa duniani
Tendo la ndoa huaminika kuwa miongoni mwa mambo ya kale zaidi. Bila shaka, binadamu hawangeendelea kuwepo bila kujamiiana. Lakini jinsi...