Juliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya...
Buy IELTS certificate Online – Need Real IELTS certificate for sale – Get original IELTS certificate without Exam – I want IELTS Certificate – Buy registered IELTS Certificate – IELTS certificate...
She is my sweetest bean... Though sitampa airtime hapa regarding her sweetness! [emoji7] [emoji8] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nampa airtime kwa jinsi alivyoweza kwa uwezo utundu...
Kama mchango wangu kwa jamii yangu, natoa mafunzo ya kuogelea bila ya malipo lkn siyo bure, karibuni wapendwa wote, ila vazi la kuogelea, usafiri wa kufika juu yako, nafanyia Jangwani beach...
*Jihadharini na wachapaji wa kadi za harusi.* *Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!*
*Mchapaji aliombwa aweke 1Yohana 4:18 ktk kadi ya harusi lakini...
Kwanza sifa walizobarikiwa:
Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo...
Wakuu,
Katika harakati za kusapoti Wamakonde wenzangu kwenye hiki kipengele cha kunywa uji wa mhogo usiokuwa na chumvi wala sukari,
Nimehangaika sana maduka kibao ya huku tabata_barakuda...
Niaje wazeiyaaah..
MKO Bwaxx....
Kesho lazima Ronaldo achukue ndoo ile kwan ni muhim kwenye mchakato wa ballon dor 2016 ambayo obvious kajamaa kanachukua (Messi tupa kuleee)
Anyway, hao...
Niaje Wazeiyaaaaaah....
EBANA SAWA:
Nimecheka mpaka kidogo nijikojolee baada ya kusikia madem wa humu MMU wanataka kuandamana kupinga kuitwa madem....
Yaani mnataka kuikana gender yenu...
Niaje wazeiyaaah....
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Mwanaume na akili timamu zilizo timamuka.... KWELI unataka kusema unaweza kuwa na mwanamke mmoja tuu maisha yako yote.
Kwahiyo kama demu...
Tokea kuanza kwa kuchangamka JF Nakumbuka kipindi hicho sijabadili username, kuna watu hawa ndo walitawala hapa JF
1. malcolm Lumumba
2. Kagemro
3. Paul Makonda
4. BAK
5. @Ocampor Four
6. faiza...
Hey wananichit chat napenda sana hivi visamaki vya urembo naomba kujua matunzo yake yanakuwaje ili visife,kuvinunua gharama yake ipi pamoja na chombo cha kuwahifadhia navipenda sana kuna muda...
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi
Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
Jamani leo gheto langu jeupe kabisaaa...X wangu kasepa na baadhi ya vitu ghetoni kwangu.
Vitu alivyochukua;
Pufyumu 2, kioo, mafuta ya kupaka, Lotion aina 2, Powder 1, vipimo vyangu vya HIV 4 na...
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja
anaifua
anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi
anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa
usiku,asubuhi
anaianika nyuma ya mlango anaondoka...