Adui mwombee njaa...
Huu msemo pengine ndio maccm wanautumia ili kufanikisha azma yao ya kutaka kuufuta upinzani bila kujua ndio inajichimbia kaburi!
Kufuatia wimbi la hama hama, ambapo wengi...
KUNA AINA MBILI ZA WENYE MAJONZI NA KILIO.. KUNA WALE WANAOJIFUNGIA NDANI NA KULIA NA KUNAWANAOKUJA KULILIA HUMU JF Na kwenye mitandao mingine ya kijamii
Mimi Kisandu Junior mjukuu wa mzee Nalimi Ismaili leo nimetokewa na jambo ambalo nimepata aibu kidogo.
Nilifika mgaawani nikaagiza chipsi yai nikaweka na mayonaizi juu asa kumbe mulemule...
Bwana Mmoja alikuwa akiuza chumvi kila siku, biashara yake ya kuuza chumvi aliifanikisha kwa kutumia Punda wake..
Katika njia yake ya kwenda sokoni kuna mto huwa anavuka, kwa bahati mbaya siku...
TV ANCHOR INTERVIEWING A
FARMER.
QN: what do you feed your goats?
Farmer: black one or white one?
Anchor: white one...
Farmer: grass.
Anchor: and black one??
Farmer: i give her grass too...
sawa hiyo!!!!! aaaaah ta!!!!!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko, kikwata kalewa cheo!!!!!!!
haaa!
sawa hiyo!!!!!!!!!
aaaah ta!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko!!!!!
anamkwepa mponda...
Kila siku mnalia lia hamuolewi,.. hampati wa kuwatuliza,.. hampendwi na wenza wenu.. Sasa mnafikiri kwa tabia kamaa hii nani atakuja kuchukua uchafu?
Walio wachache wataelewa namaanisha nini..
Hizi i miss u i miss u mda mwingine zinatutia majaribu mjue,, shem i miss u mnaitolea puani? mbona broo/mwana/mzee baba humtolei ya puani?
mashemeji zangu mpunguze mbwembwe katika salam,, unakuta...
Wasalaam Wapendwa
Uenda kuna swali ungependa kumuuliza MwanaJF flani humu ndani..Basi si mbaya kama ukimTAG na kumuuliza hapa..
Ni vyema tukatumia lugha ya kistaarabu ili kuepeuka kukwazana..
Nimekua nikijiuliza kwanini wanaume wa siku hizi wapo weak sana,kwenye wanaume 10 basi ujue tisa wanachezea vichapo kutoka kwa wake zao au wa nawake zao.
Ni aibu sana mtoto wa kiume anakunjwa na...
Kichwa cha habari chajieleza, em japo mmoja aje tupige japo story tu maana pm yangu imekuwa na mavumbi hatari... Nikipata yule ambae anajua kutengeneza mazingira ya kunidanganya nikampa vijisenti...
๐ต๐ค๐ผ๐ถ๐ต๐ค๐ผ๐ถ๐ผ๐ถ๐ผ
๐ค for Roma na
๐ for Stamina
๐คKaribu mzee kingunge kwenye makazi ya milele Mimi huku ninamji wangu tayari unaitwa nyerere ,nimeshtuka kukuona huku nini chanzo cha msiba..h,
๐...
hamjambo wadau.
kuna nyimbo leo niliisikia kwenye redio ya gari langu Altezza leo asubuhi , kuna msanii alikua anaimba akawa anasema " utamu wa Big G ni kutafuna,,," mimi maisha yangu yote...
Wakati wadada wenye umri kama wako wakipata stress kwa kutoitwa kwenye interviews na kukosa kazi wakati vyeti wanavyo..wewe unapata stress kwasababu ya mwanamke.
Kaka upo serious na maisha kweli!.
Hatukatai kuteuliwa kwa watu maarufu wa mitandaoni ila tunajiuliza yakuwa je wale watumishi bora siku hizi hawana umuhimu tena?
Ukiangalia teuzi nyingi za awamu hii ya tano mh raisi amejikita...