Najua wanaume wengi mmepigwa sana vibomu na warembo.
Nauli mnatuma alafu warembo hawatokei ni balaaa.
Mimi Demiss nimekula sana tu nauli za wanaume hasa kipindi nipo chuo kwa kutumia mbinu...
Hodi hodi wadau na washikaji wangu hasa wale wenye uzalendo wa hali ya juu kwa taifa letu,nipo huru baada ya kuwa segerea sasa nipo tayari kuliendeleza gurudumu
Cc: Salary Slip
Cc: mcubic
Cc...
Ukijibu nakupa Zawadi.
Kuna MTOTO alikuwa analia juu ya KABURI alipoulizwa analilia nini akajibu KAKA wa MKE wa MAREHEMU ni MJOMBA WANGU, JE MAITI NI NANI..?
Hey guys mm ni mzaliwa wa dar kukua dar na naishi dar nataka nitoke kidogo kutalii
Niende mkoa gani???ni mkoa gani nzuri una vivutio vizuri zaidi kwa kutalii na kula bata???
Nimeishiwa na pozi...
Mimi naanza na hawa
mshana jr KABOBEA Jamii Photos
Mussolin5 KABOBEA Sports
GENTAMYCINE KABOBEA Habari na Hoja mchanganyiko hasa katika threads zake zile za kutisha ila za uwongo
The bold KABOBEA...
Kiukweli hii list ifuatayo inavutiwa zaidi na Totoz za humu:
Mshana Jr
Huyu member ni namba moja kwa kila kitu ndo maana alimuopoa mtoto mbichi mzuri mzuri wa makao makuu mwenyewe anapendaga...
Utotoni kulikuwa na mambo mengi tuliyokuwa tunaambiwa na wakubwa wetu lakini baada ya kukua, ndio tukaja kugundua ilikuwa ni uongo!
Binafsi mimi nilikutana na haya;
1. Ukifukia soda ardhini...
I would like to take this chance to wish the old friend and best sister of mine geniveros a happily and wonderful day of her life, on your way to celebrate this just know that.....
Every one of...
Ni tukio LA asubuhi ya leo nilipopigiwa simu na jamaa angu alimaarufu kama kijana
Kijana: Mambo vp bro
Me: Pouwa tuu niambie kaka
Kijana: aah shwar tuu kaka ,Mishe zinaendaje?
Me: hvo hvo kaka...
Enzi hizo hapo yani mi kwenye foleni hyo Sikai kabisa.....natumia ujanja ujanja mpka nachukua ugali wangu nasepa....
Kuna siku moja ilikua ni ya wali jumatano.....ile kuhangaika jamaa libabe LA...
habar zenu wakuu , tupoe na mihangaiko ya hapa na pale
Moja kwa moja kwenye mada husika
Tangia nijiunge na jf kumekua na huyu member aitwae mshana jr yaan mada zake nying ni kuhusu yale mambo...
Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaweraaaaaaaaaaaaaaa wako wapi wale wa enzi zile za LEO TUPO HAPA PUB
wako wapi wale wa mastori mastori ya kutisha kama ya Mshanajr, Mentor (huyu kapotea mazima sijui ndo...
Maisha mapambano,kujiongeza ndiyo mpango. Katika kukabiliana na hii kutu ya vifunga mlango nimeamua kuanzisha kampuni ya kufanya kampeni. Nina uhakika wa tenda za kutosha kama mnavyoona hali...
Habari za majukumu wapendwa.
Ukimpata mdada akakuzungusha na mbunye yake na huku ameshakula sana vihela vyako bila mafanikio unayotaka usiumize kichwa kuwa na subira na pia jiandae kujipanga siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.