JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Eti baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani kutoa amri nikamatwe, Wazee wa Kigoma wametest mitambo kwenye mkutano wa CCM huko Buyungu ( utani huu bana, kimbunga ni jambo la sayansi sio utamaduni )...
12 Reactions
53 Replies
11K Views
Mchana nilitoa swali hapa wengi walijaribu ila hawakupatia ilivyotakiwa. Hivyo zawadi ya Gb za kuperuzi internet mwez mzima nabaki nazo mwenyewe. Qn1: Mwili wa binaadamu umeundwa kwa Atoms 7...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kichwa chajieleza, taja tabia mbaya ulowahi kuifanya ulipokuwa mtoto especially tulokaa/kulia uswahilini , naanza na Mimi TABIA YA KUMZOMEA ASUBUHI MTOTO MWENZENU KAMA NI KIKOJOZI ok tiririka nawe...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hatari sana hii!
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Dada huyu anaependelea kutumia formation ya viungo watatu katikati( verasidika,aggy masogange na sanchoka) 4-3-3 kawanyima sana usingizi ma bazazi,mafisi na wake zetu hapa mtaani...akipita lazima...
22 Reactions
220 Replies
17K Views
Nakumbuka miaka hiyo simu za nokia tochi zimeingia,nilikuwa napenda lile gemu la nyoka hasa pale umemeza vitufe vidogo halafu linaletwa lile kubwa basi unampigisha nyoka wako rivasi ya hatari ili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dear amu I wish you all the best and that your days will be filled with favor and blessings. Kila unayoyapitia yachukulie kama blessings na yakujenge uzidi kuwa mtu mwema as you grow old! me...
7 Reactions
63 Replies
10K Views
Ukiskia Wanaume wa Dar unaelewaje?? Mana wapo wanaume wanaishi Dar ila hawana hata mwezi(wametoka mkoani) au hana vitabia vya wakazi wa Dar. Je mana ya hili neno linaegemea malezi,tabia,muda wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna jirani yangu ni bachala,hajaoa,ni mtumishi wa umma na amepanga nyumba ambayo ni ya mh hakimu fulani hapa mtaani Katika hali ya ujana akaingia mahusiano na binti wa Hakimu,huyu binti ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna vitu viwili vyenye nguvu Pesa na Mwanamke. Kuna vitu viwili vyenye thamani Mwanamke na Ardhi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa Nimekuwa nikisikia kwa mda mrefu sana hasa huu mwez jina la sister fey lakin sikujua huyu sister ni nan hapa mjin. Sasa leo ndo nikamua niingie chimbo...
4 Reactions
104 Replies
8K Views
Habari za majukumu wakubwa na wadogo.. Kama mada inavojieleza hapo juu. Kama kawaida ukiwa umeolewa na serikali shuruti urushwe rushwe kama kama mpira wa mdako... Kwa mara ya kwanza nilianza...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
nlikuwa naongea na rafiki yangu uledi huyu ana watoto 5 kwa mke mmoja na wengine 3 kwa mke mwingine. Uledi analalamika maisha ni magumu haoni kitu cha kufanya. nlishtuka kidogo nikawaza na kuamua...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Iko hivi, uko ndani ya gari (daladala au hata basi!) sasa pembeni yako akawa yupo jamaa, akakuuliza. "tumefika wapi hapa" wewe nae ili usionekane bwege, unamjibu "hapa ni ubungo" siti ya mbele...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Soma vitabu
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimejitahidi(mimi na ndugu zangu wa tumbo moja) kumfanyia mama yetu kila linalowezekana ili maisha yake ya utu uzima yawe ya furaha na yasio na changamoto nyingi za kimaisha kama ambavyo alikua...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni nick name ya nani inayokuvutia hapa jamvini?
1 Reactions
122 Replies
7K Views
JM - John Magufuli JM - Jerry Muro JM - Jokate Mwegelo JM - Jasinta Mboneko Kama kuna JM humu Ajiandae 🤣🤣🤣 sina maana hiyo
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Msanii alikiba msanii mkali wa muzik Tanzania anayeshindanishwa na diamond platinum ambaye kwa sasa inasemekana amesajiliwa na timu ya ligi kuu ya Tanzania kwa kuwa anakipaji cha mpira pia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
JIPATIE SIZON KWA BEI POA EPSODE 1 200TZS TUNAUZA KUANZIA EPSODE 5 TUNATUMA WHATSAPP KWA NJIA YA LINK KARIBU SEASON SINGLE MOVIE ZOTE ZIPOOOO KULA KITU MOJA HIO APOO UKIHITAJI NIONEE...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Back
Top Bottom