JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Achana na wazushi,wasio juu kunyuka pamba ,viwanja.... Wana talk pumba,, awajui ku shine wao uvaa za duka ..... Za kupauka,,, ndio wanazo vaa,, shopping twende tandika utapendeza ukivaa...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna avatar ya member yeyote hapa jamvini usiyoipenda au hujisikii vizuri ukiiona? Siyo utani, Avatar za hawa watu mimi sizikubali kabisa.. -Kichwa Kichafu -Joseverest Hebu weka usiyoikubali...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Uneshamuona njia kuu anapewa u monitor wa darasa? Au kujengewa nyumba. Nyumba ikijengwa ni ya familia na mume akipata matatizo inaweza iuzwe lakini Nani amekwambia nyumba ya mchepuko inauzwa ili...
12 Reactions
20 Replies
2K Views
JIPATIE SIZON KWA BEI POA EPSODE 1 200TZS TUNAUZA KUANZIA EPSODE 5 TUNATUMA WHATSAPP KWA NJIA YA LINK KARIBU SEASON SINGLE MOVIE ZOTE ZIPOOOO KULA KITU MOJA HIO APOO UKIHITAJI NIONEE...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni wiki ya pili sasa tangia tumemzika babu yetu mdogo, yaani baba yake mdogo mama yangu mzazi na namuomba Mwenyezi Mungu Amsamehe dhambi zake na amfanyie wepesi katika hesabu zake, na Amuweke...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Zamani nilipenda sana kula maharage. Harage zito lililoungwa na vitunguu vingii na hoho, nazi au maziwa. Nilikuwa nikijaza maharage kwenye sahani wali unakuwa tepetepe, basi nilikuwa napenda...
5 Reactions
110 Replies
6K Views
Bandugu mwaka mpya na mambo mapya. Nataka njidhatiti na kujisajili kitengo cha ndoa jf sasa basi mwaka jana nlipata wachumba humu 2 katika hao wawili hawana sera mmoja nikambwaga live mwingi wa...
21 Reactions
601 Replies
26K Views
FAMILIA YA KIBA; MIEZI 3, NDOA 3  Ali Saleh Kiba na Mkewe IKIWA zimebaki siku saba kufikia ndoa ya mwanadada Zabibu kiba ambaye ni dada wa mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba, siri ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
*Jokate : Mkuu mpya wa wilaya kisarawe....* *Ali kiba: Mchezaji mpya wa coastal union....* *Kweli wanaume tumeumbiwa mateso....*
1 Reactions
1 Replies
1K Views
I love Tz... we are now using halotel for Data, Airtel for calls and vodacom for Mpesa?![emoji16] Hand shake imefanya kazi.
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ebwans leo jioni nikiwa nafanya mazoezi maeneo ya ubungo nimekutana huyu mkuu wa matozi. AMETUPIA KIMWENDO KASI
4 Reactions
49 Replies
9K Views
Mtoto wa 1: bachelor Mtoto wa 2: Masters Mtoto wa 3: Phd Mtoto wa 4: Mwizi. Jirani: kwanini usimfukuze huyo wa nne? Baba: huyo ndo peke yake analeta pesa nyumbani hao wengine hawana kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I wish money could be like body weight. Easy to gain but hard to lose.
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Waitara mbunge wa jimbo la Ukonga Ajiuzuru muda huu na kujiunga na ccm
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa natumai mpo poa, nami nipo vyema kiafya namshukuru Mungu siku imeenda vyema. Hadi Wikiendi hiyo imegonga hodi fasta, kama injini ya tumbo la kuendesha. Lengo la kuileta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mtu wa kunikopesha kama milioni 2 hivi. Hela za kulipa ninazo
3 Reactions
9 Replies
2K Views
"Tuma meseji hii kwa watu 20 kuna kitu kizuri kitakutokea ndani ya siku 3 wengine walipuuza wakafukuzwa kazi na kupata ajali mbaya " Sms za hivi huwa zinanikera yaan Tumekuwa watu wa kuishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza Nipo njiani kuja mjini Daslama kutokea huku nkoani Masaa machache ntakua nishaingia mjini hapo Nina muda sana sijakanyaga huo mji so najua kuna mabadiliko mengi Sana ya...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Hamjambo,mambo vipi,shkamooni, Moja kwa moja kwenye #mada,eti katika #ndoa ukiwa na #mawifi au #mashemenga au #wote kwa kwa pamoja watakao kufanya uanze kuona #ndoa tamu kama #mwarobaini kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mara nyingi katika jamii zetu kumekuwa na tabia ya watu kurushiana matusi la hasha tusio neno au jina la sehemu bali ni kutokana na tabia ya sehemu fulani kwa mfano; 1, Puru, tundu la kutolea...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom