Kuzungumzia habari za kifo sio Jambo rahisi.tu assume tungepewa nafasi ya kuchagua ugonjwa ambao utasababisha kifo chako.je wewe ungechagua upi?kansa,matatizo ya mapafu,UKIMWI,malaria...
Asee humu jf kuna avatar na majina ya wakuu yanachekesha mno, ebu cheki avatar ya huyu mkuu "ushimen "mwingine anajiita "panyabuku"
Na mwingine yule mkuu wa jukwaa la tech ronaldinho mwenye mdomo...
Ndugu zangu mwenzenu nipo katika majuto mjukuu
Kwa matumizi niliyokuwa nafanya wakati ule ni mabaya sana.
Nilipokuwa na pesa mfukoni matumizi yangu yalikuwa niya hali ya juu sana. Na nilikuwa...
Hivi kuna watu bado wananunua memory card na kujaza simu kwa kudownload nyimbo?
Spotify ni hatari hii unaweza kustream playlist ya nyimbo hata 100, nyimbo mpya kwa mb 5 mpk 10, unaweza...
Mwanamke na mwanaume wanapoana na bahati nzuri wakawa wanafanya kazi huwa ni neema ndani ya nyumba na maendeleo yatakuja kwa sana na watoto hawatapata shida
Tatizo lipo kwa mwanaume,mwanaume kama...
Watu wengi hupenda kuwaita wanawake ambao wana wapenzi wengi kuwa ni Vicheche kwa maana kuwa wanapenda ngono sana
Hebu angalia tabia za huyu mnyama kicheche na tabia za mwanaume,kwa wale...
Habari za majukumu wakuu.
Husika na kichwa cha habari.
Kuna mtibdo mpya siku hizi kwa akina dada wa kupiga hela, kwakweli hili wamefanikiwa lakini kwa wachache wasioujua huu mchezo wao.
Najiuliza...
Hatimaye safari yangu ya kutoka nkoani Simiyu wilayani Itilima imefika mwisho hapa mjini Daslama
Nilikua makini sana pale ubungo,nimetoka nje nimekuta wanauza visamaki vina kamba kamba na wengine...
Nakuja kwenu WAKUU na watabe wa tasnia hii..
Waswahili wanasema kua uyaone.. Mwenzio kila nikijaribu kwa nguvu zote kumtekenya mke wangu hacheki, msaada wakuu wa jamvi ili ni nusuru ndoa...
Naandika tabia nilizoziona humu kwa members wa Jf ambao ni wakazi wa Dar na ambao ni wakazi wa mikoa mingine tofauti na Dar
. Members wa Dar
1. Wanawadharau sana wale wamikoani
2. Wanaamini...
Kama heading inavyojieleza hapo juu,
Wakuu kuna watu hapa JF wana bahati mbaya sana kama vile wanalala na bundi, yaani hata alete uzi wenye mashiko kiasi gani lakini atabezwa tu na wala hatopata...
Jamani waumini wa JF naombeni ushauri niliacha kula NYAMA ya kiti moto kwa kipindi kisicho pungua miaka 16 lakini nnikarudia kula tena nna kama miezi 3 sasa kilicho tokea naona kama nayumba...
hili jambo huwa najiuliza sana kama ni kweli binadamu wote ni sawa.
Kiuhalisia usawa haupo kwa kweli.
Mfano mdogo tu kuna members hawapewi Ban kabisa;
Kuna member kama Max Melo mzee mwana...
Wasalaam bandugu katika jukwaa hili
Leo nimeona tushirikishane visa vilivyowahi kukutokea, au umewahi kushuhudia mtu anaumbuka kisa pombe?
Mimi siku nimetoka redstone club moshi nimekula pombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.