JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau Weekend Imenoga Sana, Kwa Wale Wa A TOWN Lazima Mtakua Mnaijua Picnic Bar, Stress Free Zone, Huku Tukihudumiwa Na Watoto Wakali Wenye "CHURA Za Maana
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hellow! Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor. Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu...
6 Reactions
160 Replies
7K Views
Nimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. Haina shida nimeamua kusema iwe kama angalizo maana kuna siku nitakuja tu kufanya reference. Sisi wengine hatujui...
35 Reactions
607 Replies
79K Views
Pale unapokosea kutuma fwedha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chifu alitaka kujua idadi ya makahaba kwenye kijiji chake. Makahaba walipokuwa kwenye foleni bibi 1 akapita akamuona mjukuu wake yumo katika foleni, bibi akauliza..hapa kuna nini? Mjukuu...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Padri Lucas Mahogha wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mahenge ambaye ni mtunzi wa wimbo wa Nimekukimbilia Bwana Nisiabikie Milele... mwaka huu anatimiza miaka 40 ya upadre. Katika mengi anayokumbuka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wale wenye damu mchanganyiko. Hivi ni changamoto gani mlizowahi kutana nazo katika maisha yenu kutoka na mchanganyiko wa damu ??? Miaka ya nyuma ilikuwa ni tabu sana kupata ajira hapa Tanzania...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Moshi na Arusha vijana wana dharau sana , si wanawake , si wanaume na wala si wazee ! Ukiwa na Passo, ist, Starlet, Porte, Runx, Allex unapata taabu sana. Wanaiita hivyo vigari mara Kobe, mara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salam wakuu, kesho nina mpango wa kununua cond*m sasa nafikilia nitamwambiaje muuzaji kwa kutumia lugha rahisi badala ya kumwambia direct nahitaji cond%m,
1 Reactions
20 Replies
2K Views
*MTU ANAPATA WAPI UJASIRI WA KUJINYONGA WAKATI MIMI HATA KUFUNGA TU KIFUNGO CHA JUU CHA SHATI NAOGOPA* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Tumsifu Yesu Kristu! Mtu Mmoja Mzee alikuwa akiokota kuni mwituni mtu huyo mzee alionekana kuchoka sana na ugumu wa Maisha.. alilia na kumlaumu sana Mungu kwa ugumu wa Maisha yake, Hata...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Hahahha Nakumbuka nikiwa na rafiki yangu tukitokea Dar kwenda Karagwe Buƙoɓa tuliamua kufikia guest moja katika mji wa Kahama tukakuta ndani kuna mashuka mapya mazuri na asubuhi tulikuwa...
13 Reactions
349 Replies
29K Views
Mimi binafsi nipo herufi "e" wewe upo ipi???
2 Reactions
78 Replies
3K Views
Nna ham nayo iyooo
0 Reactions
2 Replies
534 Views
Mwenye kutaka rafiki asiye kuwa na Dosari, basi ataishi mpweke daima. Mwenye kutaka Mke au Mume ambaye hana mapungufu, ataishi bila ya kuoa au kuolewa (Bachelor) mpaka siku ya kufa kwake. Mwenye...
0 Reactions
2 Replies
496 Views
Shunie mke wangu nakupenda shunie wa jf nakuuliza umezaa? Njoo najua kukufanya ujisikie mwanamke shunie
5 Reactions
160 Replies
6K Views
Tulikwenda msibani, katika kuona sura ya mwisho marehemu amenyolewa ndevu vizuri na kuvushwa miwani. Hii ni mara yangu ya kwanza kuona marehemu akiwa na miwani. Kwa tunaimfahamu marehemu alivaa...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Disko la Ntwaraa bana, ndani ntitii na njee ntitii. Afu ndani kuja DJ ntotoo
1 Reactions
11 Replies
3K Views
I like this joke[emoji38] *[emoji778]JOKE THAT MAKES SENSE![emoji778]* An old farmer wrote a letter to his son who is in prison. "Son, this year I will not plant cassava and yam because I can't...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom